Vyote ambavyo Mh Rais mama Samia kaamua kuvifanyia kazi ni vile ambavyo vilikuwa vikilalamikiwa na watanzania kupitia wapinzani ambao waliwasilisha kilio cha wananchi kote DunianiAliwaambia ukweli mkatukana weeee kuwa anatetea wakwepa kodi . Hya sasa Rais kawaumbua hamjui msifie au mpinge.
Hahahhaha I'm really enjoying these moments
🤣🤣🤣🤣Umeua mkuuHata mkiungana wote pale Lumumba na wake zenu,hamuwezi kupangua hata hoja moja ya Lissu.
MATAGA nyie.
🤣🤣🤣Watasifia na hapohapo watapingaAliwaambia ukweli mkatukana weeee kuwa anatetea wakwepa kodi . Hya sasa Rais kawaumbua hamjui msifie au mpinge.
Hahahhaha I'm really enjoying these moments
Comment yako haikisi mada tajwa hapo juu mkuu, tulia, soma kwa makini then njoo na hoja.Lissu huyuhuyu anayempigia debe Hoseah!