M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Jana nimeshangaa kuona ubarikio wa mtoto wa Bilionea Knyama KKKT peke yake tofauti na wenzetu huko Katoliki ambako ratiba ya komunio ni kwa wote (bila kujali kipato cha mzazi/mlezi) na sio mmoja mmoja. Shkamoo Mangi
Mchungaji wa hilo kanisa ni Kimaro unategemea nini?Jana nimeshangaa kuona ubarikio wa mtoto wa Bilionea Knyama KKKT peke yake tofauti na wenzetu huko Katoliki ambako ratiba ya komunio ni kwa wote (bila kujali kipato cha mzazi/mlezi) na sio mmoja mmoja. Shkamoo Mangi
LP 640 iyo, used bila $200,000 sidhani kama itapatikana.Hiyo gari ni Tsh ngapi
Nimemkumbuka Magufuli!LP 640 iyo, used bila $200,000 sidhani kama itapatikana.
Chuma ina hp 650+ Sema mafuta inanusa tu. Maana ina engine ya cc 6,500 tu.
Angalau leo umeandika maneno yenye hekima. BTW makanisa mengi ya KKKT ni kama ya kitapeli hivi. Wanathamini fedha sana.Mchungaji wa hilo kanisa ni Kimaro unategemea nini?
Dini hizi tunapigwa sana, mchaga aache duka aende kukusanya sadaka?Mchungaji wa hilo kanisa ni Kimaro unategemea nini?
Ni vigumu sana kuweza kuweza kujua bei yake. Bei ya magari ni kitu ambacho kiko complex sana. Inaweza kuwa chini ya hapo.LP 640 iyo, used bila $200,000 sidhani kama itapatikana.
Chuma ina hp 650+ Sema mafuta inanusa tu. Maana ina engine ya cc 6,500 tu.
Nimeweka estimatedNi vigumu sana kuweza kuweza kujua bei yake. Bei ya magari ni kitu ambacho kiko complex sana. Inaweza kuwa chini ya hapo.