Video: Ubarikio wa mtoto wa Bilionea Mosha

Video: Ubarikio wa mtoto wa Bilionea Mosha

Jina lake mwokozi Yesu.....

Ni kiboko yaa sheetaani....
Likitamkwa huponya magonjwa......

Na mapepo yanakimbia.....

Alimwita Lazaro aliyekufa.... Toka nje..

Lazaro uwe mziiiimaaa akatoka Lazaro..... Aliyenuka

Yuuu mzima Lazaro kaenda zake

Akatoka Lazaro aliyenukaa.....

Yuuu mzima Lazaro kaenda zake

Hakunaaaaaaa hakunaaaaaaa
secretarybird uwe na jumapili njema Lamomy cocastic Ibn Unuq ......
Ameeen. Na kwako mtumishi 😻
 
Nina abudu kkkt, hawa jamaa ukiwa na hela unapata special treatment kuanzia ubatizo/kipaimara/Ndoa/hadi Ibada yako ya mazishi

Najitahidi kwenda nao sawa ili tusitengwe tukifa

Kwahiyo michango ya Ujenzi/kutunza watumishi n.k unachomoa kibunda unawapa
KKT imejaa wahuni tu, wao pesa mbele, nawakubali sana Romani ingawa sisali huko,
 
Sio kweli sema hujui tu hata huku katoliki mambo haya yapo. Tena kwa wakatoliki huo ubatizo unaweza ukafanyikia nyumbani kwa hiyo familia!
Labda kwenye sherehe za jumuiya.
Sijawahi kuona wala kusikia ubatizo kufanyika kwa muumini mmoja mmoja na tena nyumbani kwake?

Leta ushahidi ikiwezekana wa picha tujifunze zaidi, otherwise utakuwa muongo tu.
 
Jana nimeshangaa kuona ubarikio wa mtoto wa Bilionea Knyama KKKT peke yake tofauti na wenzetu huko Katoliki ambako ratiba ya komunio/kipaimara ni kwa wote (bila kujali kipato cha mzazi/mlezi) na sio mmoja mmoja. Shkamoo Mangi

View attachment 3182057
Mkapa amewatajirisha wachaga aisee! Mmakua yule nini kilimkuta? Huyu si ndiyo alikuwa personal account ya mke wa mkapa
 
Ukitazama tu utaona huyo binti ni mkubwa ukilinganisha na watoto wanaobarikiwa miaka hii. Hapo lazima kuna sababu ya kipekee na sio kutokana na pesa za mzazi wake.
Yes, uko sahihi. anaweza alikuwa nje ya nchi kimasomo
 
Jana nimeshangaa kuona ubarikio wa mtoto wa Bilionea Knyama KKKT peke yake tofauti na wenzetu huko Katoliki ambako ratiba ya komunio/kipaimara ni kwa wote (bila kujali kipato cha mzazi/mlezi) na sio mmoja mmoja. Shkamoo Mangi
Mgiriki alisema serkali yote ya Mwl. Nyerere iko mfukoni mwake, na hapo sasa ndiyo ujue KKKT yote iko mfukoni mwa Mangi
 
Jana nimeshangaa kuona ubarikio wa mtoto wa Bilionea Knyama KKKT peke yake tofauti na wenzetu huko Katoliki ambako ratiba ya komunio/kipaimara ni kwa wote (bila kujali kipato cha mzazi/mlezi) na sio mmoja mmoja. Shkamoo Mangi

View attachment 3182057
Ni kukosa akili, mabilionea wako USA hawafanui huo upumbavu. Mosha ni bilionea wa Tsh bd ni maskini tu
 
Jana nimeshangaa kuona ubarikio wa mtoto wa Bilionea Knyama KKKT peke yake tofauti na wenzetu huko Katoliki ambako ratiba ya komunio/kipaimara ni kwa wote (bila kujali kipato cha mzazi/mlezi) na sio mmoja mmoja. Shkamoo Mangi

View attachment 3182057
Wachaga wanapenda sana sifa za kijinga. Yaani mpk kanisani? Ni kukosa maarifa na hekima. Nawasifu sana waislam. Hawana show off za kipumbavu km hizo. Ht makabila mengine kuna watu wana pesa, wachaga ni washamba sn
 
Back
Top Bottom