Video: Ubarikio wa mtoto wa Bilionea Mosha

Video: Ubarikio wa mtoto wa Bilionea Mosha

Jina lake mwokozi Yesu.....

Ni kiboko yaa sheetaani....
Likitamkwa huponya magonjwa......

Na mapepo yanakimbia.....

Alimwita Lazaro aliyekufa.... Toka nje..

Lazaro uwe mziiiimaaa akatoka Lazaro..... Aliyenuka

Yuuu mzima Lazaro kaenda zake

Akatoka Lazaro aliyenukaa.....

Yuuu mzima Lazaro kaenda zake

Hakunaaaaaaa hakunaaaaaaa
secretarybird uwe na jumapili njema Lamomy cocastic Ibn Unuq ......
Kwako pia mkuu Monetary doctor
 
Cha kupendeza hapo ni utu.

Kama utajiri asiejua David Mosha ni tajiri alikuwa sayari nyingine.

Kama kuna mtu alikuwa hajui David Mosha anamiliki Lamborghini (ya zamani) asaidiwe.

Maybach ya Lugumi inanunua Lamborghini kama mbili hizo.

Muhimu hapo ni utu, kuipa ‘Le Mutuz’ tv exclusive ya tukio. Inakuonyesha kuna marafiki wanakuthamini hata ukiwa umezikwa.
 
Jina lake mwokozi Yesu.....

Ni kiboko yaa sheetaani....
Likitamkwa huponya magonjwa......

Na mapepo yanakimbia.....

Alimwita Lazaro aliyekufa.... Toka nje..

Lazaro uwe mziiiimaaa akatoka Lazaro..... Aliyenuka

Yuuu mzima Lazaro kaenda zake

Akatoka Lazaro aliyenukaa.....

Yuuu mzima Lazaro kaenda zake

Hakunaaaaaaa hakunaaaaaaa
secretarybird uwe na jumapili njema Lamomy cocastic Ibn Unuq ......
Good!
Weka hata audio kabisa mkuu.
 
Jana nimeshangaa kuona ubarikio wa mtoto wa Bilionea Knyama KKKT peke yake tofauti na wenzetu huko Katoliki ambako ratiba ya komunio/kipaimara ni kwa wote (bila kujali kipato cha mzazi/mlezi) na sio mmoja mmoja. Shkamoo Mangi

View attachment 3182057
Sio kweli sema hujui tu hata huku katoliki mambo haya yapo. Tena kwa wakatoliki huo ubatizo unaweza ukafanyikia nyumbani kwa hiyo familia!
 
Back
Top Bottom