Kwa wachache saaana, tena kwa mapadre ambao nafikiri wameanza kukengeuka, ubatizo huwa unatangazwa kwa utaratibu wa pamoja kama ni msamaha, kama ni kwa mafunzo wanaandikishwa wanabatizwa kwa siku moja wote uwe tajiri, uwe masikini unabatizwa na wenzio labda hayo masherehe ndo myafanyie nyumbani.Sio kweli sema hujui tu hata huku katoliki mambo haya yapo. Tena kwa wakatoliki huo ubatizo unaweza ukafanyikia nyumbani kwa hiyo familia!
Inafaa kwa shughuli za shmba? Nataka niwanunulie vijana wangu kwaajili ya kwenda kukamulia maziwa.LP 640 iyo, used bila $200,000 sidhani kama itapatikana.
Chuma ina hp 650+ Sema mafuta inanusa tu. Maana ina engine ya cc 6,500 tu.
Hahaha we chukua Massey Ferguson 375 mzee. Engine 4.1 L hafu power 75 hp 😂Inafaa kwa shughuli za shmba? Nataka niwanunulie vijana wangu kwaajili ya kwenda kukamulia maziwa.
Hii si trekta mzeeHahaha we chukua Massey Ferguson 375 mzee. Engine 4.1 L hafu power 75 hp 😂
😂😂😂😂Hii si trekta mzee
Popote pale ukiwa na hela treatment yako inakua tofauti na asiye na pesa, si hata ww ulionaa mwili wa Mzee Mengi ulipelekwa Lugalo lakini wa Ulomi ulipelekwa MwananyamalaNina abudu kkkt, hawa jamaa ukiwa na hela unapata special treatment kuanzia ubatizo/kipaimara/Ndoa/hadi Ibada yako ya mazishi
Najitahidi kwenda nao sawa ili tusitengwe tukifa
Kwahiyo michango ya Ujenzi/kutunza watumishi n.k unachomoa kibunda unawapa
Mmmh weee mzee ya Mengi mbona ya zamani sana aisee.Popote pale ukiwa na hela treatment yako inakua tofauti na asiye na pesa, si hata ww ulionaa mwili wa Mzee Mengi ulipelekwa Lugalo lakini wa Ulomi ulipelekwa Mwananyamala
🦾🦾Nimefurahi kujua we ni mshirika mwenzangu
Ni mfano tuMmmh weee mzee ya Mengi mbona ya zamani sana aisee.
Makanisa yote ni UTAPELI...Angalau leo umeandika maneno yenye hekima. BTW makanisa mengi ya KKKT ni kama ya kitapeli hivi. Wanathamini fedha sana.
Kanisa Moja Katoliki la Mitume hawawezi kufanya ujinga kama huo.Jana nimeshangaa kuona ubarikio wa mtoto wa Bilionea Knyama KKKT peke yake tofauti na wenzetu huko Katoliki ambako ratiba ya komunio/kipaimara ni kwa wote (bila kujali kipato cha mzazi/mlezi) na sio mmoja mmoja. Shkamoo Mangi
View attachment 3182057
Ngoja ni download hizo Ngoma niliskiza muda mrefu kidogoGood!
Weka hata audio kabisa mkuu.
Fanya hivyo ili na Mimi nikumbike zamaniNgoja ni download hizo Ngoma niliskiza muda mrefu kidogo
Pesa inaongeaHii ni kawaida kwa matajiri wa moshi na makanisa yao ya kkt
Katoliki hawafanyi huo ujinga kama ni ubarikio watapata watoto wote kwa pamoja tajir na fukara
Hakuna siku maalum ya mtto mwenye fedha kupata ubarikio
Hakika tutafute pesa ila kihalaliPesa inaongea