Video: Ubarikio wa mtoto wa Bilionea Mosha

Ameeen. Na kwako mtumishi 😻
 
KKT imejaa wahuni tu, wao pesa mbele, nawakubali sana Romani ingawa sisali huko,
 
Sio kweli sema hujui tu hata huku katoliki mambo haya yapo. Tena kwa wakatoliki huo ubatizo unaweza ukafanyikia nyumbani kwa hiyo familia!
Labda kwenye sherehe za jumuiya.
Sijawahi kuona wala kusikia ubatizo kufanyika kwa muumini mmoja mmoja na tena nyumbani kwake?

Leta ushahidi ikiwezekana wa picha tujifunze zaidi, otherwise utakuwa muongo tu.
 
Jana nimeshangaa kuona ubarikio wa mtoto wa Bilionea Knyama KKKT peke yake tofauti na wenzetu huko Katoliki ambako ratiba ya komunio/kipaimara ni kwa wote (bila kujali kipato cha mzazi/mlezi) na sio mmoja mmoja. Shkamoo Mangi

View attachment 3182057
Mkapa amewatajirisha wachaga aisee! Mmakua yule nini kilimkuta? Huyu si ndiyo alikuwa personal account ya mke wa mkapa
 
Ukitazama tu utaona huyo binti ni mkubwa ukilinganisha na watoto wanaobarikiwa miaka hii. Hapo lazima kuna sababu ya kipekee na sio kutokana na pesa za mzazi wake.
Yes, uko sahihi. anaweza alikuwa nje ya nchi kimasomo
 
Jana nimeshangaa kuona ubarikio wa mtoto wa Bilionea Knyama KKKT peke yake tofauti na wenzetu huko Katoliki ambako ratiba ya komunio/kipaimara ni kwa wote (bila kujali kipato cha mzazi/mlezi) na sio mmoja mmoja. Shkamoo Mangi
Mgiriki alisema serkali yote ya Mwl. Nyerere iko mfukoni mwake, na hapo sasa ndiyo ujue KKKT yote iko mfukoni mwa Mangi
 
Jana nimeshangaa kuona ubarikio wa mtoto wa Bilionea Knyama KKKT peke yake tofauti na wenzetu huko Katoliki ambako ratiba ya komunio/kipaimara ni kwa wote (bila kujali kipato cha mzazi/mlezi) na sio mmoja mmoja. Shkamoo Mangi

View attachment 3182057
Ni kukosa akili, mabilionea wako USA hawafanui huo upumbavu. Mosha ni bilionea wa Tsh bd ni maskini tu
 
Jana nimeshangaa kuona ubarikio wa mtoto wa Bilionea Knyama KKKT peke yake tofauti na wenzetu huko Katoliki ambako ratiba ya komunio/kipaimara ni kwa wote (bila kujali kipato cha mzazi/mlezi) na sio mmoja mmoja. Shkamoo Mangi

View attachment 3182057
Wachaga wanapenda sana sifa za kijinga. Yaani mpk kanisani? Ni kukosa maarifa na hekima. Nawasifu sana waislam. Hawana show off za kipumbavu km hizo. Ht makabila mengine kuna watu wana pesa, wachaga ni washamba sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…