Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Hata ukiwa na kila kitu, bila sovereignty, wewe sio nchi!. Zanzibar haina dola, haina sovereignty hivyo sio nchi!.Wana Rais,wimbo wa Taifa,bendera,bunge,baraza la mawaziri,mipaka,ni vile tu hawana kiti UN ila ni nchi kamili
Wakiamka asubuhi moja wakapiga kura kujitoa Kwenye muungano wanasonga,tukubali kama nchi kuna tatizo la muundo au katiba,wakina Lissu wanatumia hizo loop holes kupiga kwenye mshonoHata ukiwa na kila kitu, bila sovereignty, wewe sio nchi!. Zanzibar haina dola, haina sovereignty hivyo sio nchi!.
P
Mkuu mdukuzi , hilo haliwezekani aslaan!. Unakijua kilichomkuta Abdul Jumbe?. Nani atathubutu kufanya ujinga huo?. Tanzania ni nchi moja ya JMT, kitendo cha kujitoa muungano ni sawa na uhaini kwa JMT!, no one can dare do that!. Mwisho wa uwezo wao ni kwa vitimbakwiri kupiga tuu kelele!, there's nothing they can do!. HuuWakiamka asubuhi moja wakapiga kura kujitoa Kwenye muungano wanasonga,tukubali kama nchi kuna tatizo la muundo au katiba,wakina Lissu wanatumia hizo loop holes kupiga kwenye mshono
Mdanganye mjinga
1. Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye uraia mmoja tuu wa JMT. Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT.
2. Wananchi wa Zanzibar ni Watanzania ila pia ni wakaazi wa Zanzibar. Ukaazi sio uraia.
P
Naked Truth. Thread closed
1. Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye uraia mmoja tuu wa JMT. Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT.
2. Wananchi wa Zanzibar ni Watanzania ila pia ni wakaazi wa Zanzibar. Ukaazi sio uraia.
P
Hawa watoto wa 2000 wakiingia madarakani muungano kwa heri,Mkuu mdukuzi , hilo haliwezekani aslaan!. Unakijua kilichomkuta Abdul Jumbe?. Nani atathubutu kufanya ujinga huo?. Tanzania ni nchi moja ya JMT, kitendo cha kujitoa muungano ni sawa na uhaini kwa JMT!, no one can dare do that!. Mwisho wa uwezo wao ni kwa vitimbakwiri kupiga tuu kelele!, there's nothing they can do!. Huu
Muungano wetu adimu na adhimu tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
🤣🤣🤣🤣.......nimekupata vizuri mkubwa. Autonomy Zanzibar ndo inayofanya wabara watake autonomy ya Tanganyika.Kwa Zanzibar inawezekana kwasababu Zanzibar ina autonomy yake ya mambo yake ya ndani, wakati mambo ya Tanzania ni ya wote wakiwemo Wanzanzibari.
Elimu kuhusu katiba, sheria na haki ni muhimu ili watu wajue kuhusu autonomy ya Zanzibar na kuacha hizi kelele za ubaguzi, kutaka kuwabagua, tena afadhali ya sasa, mimi nimeingia Zanzibar kwa passport enzi hizo!.
P
Mkuu kuna taifa la Tanzania linaloundwa na nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar. Kumbuka wajumbe wa UN ni mataifa sio nchi! Tanzania haikuwahi kuwa nchi!1. Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye uraia mmoja tuu wa JMT. Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT.
2. Wananchi wa Zanzibar ni Watanzania ila pia ni wakaazi wa Zanzibar. Ukaazi sio uraia.
P
wewe ni raia wa wapi?Mkuu kuna taifa la Tanzania linaloundwa na nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar. Kumbuka wajumbe wa UN ni mataifa sio nchi! Tanzania haikuwahi kuwa nchi!
Mkuu serikali iliyopo ni ya Tanganyika ila ililzimisha kibabe iwe serikali ya Tanzania.Dawa ni kuwepo Serikali ya Tanganyika! Kila serikali ijiamlie mambo yake kasoro Ulinzi,Uhamiaji,mambo ya nje na ndani yawe ya Muungano kama ilivyo sasa!
Tanganyika na Zanzibar zisiwe nchi bali mataifa mawili ndani ya nchi moja ya Tanzania.
Mkuu are sure huu mfano uliotumia unaakisi the reality uliyo taka kupresent au unakimbia hoja kwa mfano mwepesi???Mimi nimezaliwa Tanzania, na wengi wetu tumezaliwa Tanzania, waliozaliwa Tanganyika wote by now ni wastaafu, wako over 60 years, na walipopata akili, walikuwa tayari Tanzania, ni Watanganyika gani hao wa kuililia Tanganyika na kujivunia Tanganyika?.
Muungano ni kama ndoa, Zanzibar ni kama mwenza, sasa wewe kama mwenza wako anajipodoa, na wewe utataka kujipodoa ili mlingane?. Hebu acheni hizi kitu!.
P
Mkuu Pascal Mayalla1. Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye uraia mmoja tuu wa JMT. Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT.
2. Wananchi wa Zanzibar ni Watanzania ila pia ni wakaazi wa Zanzibar. Ukaazi sio uraia.
P
Mkuu Pascal Shida ni aina ya Muungano Tanzania Iliyoingia..Mimi nimezaliwa Tanzania, na wengi wetu tumezaliwa Tanzania, waliozaliwa Tanganyika wote by now ni wastaafu, wako over 60 years, na walipopata akili, walikuwa tayari Tanzania, ni Watanganyika gani hao wa kuililia Tanganyika na kujivunia Tanganyika?.
Muungano ni kama ndoa, Zanzibar ni kama mwenza, sasa wewe kama mwenza wako anajipodoa, na wewe utataka kujipodoa ili mlingane?. Hebu acheni hizi kitu!.
P
Lakini Unajua Kuwa Katiba ya zanzibar ina Nguvu kisheria Pia??It's true katiba ya Zanzibar imefanya uhaini kujiinua na kujiita nchi na kutaja mipaka yake, ila katiba ya JMT haiitambui katiba ya Zanzibar!, kwasababu haituhusu!. Huwezi kufanya uhaini kwa sehemu ambayo sio nchi!. Katiba ya Zanzibar kujiita nchi ni kujifurahisha tuu, mwisho Chumbe!. Nchi ni moja tuu, JMT!.
Hata wewe na mkeo, anabeba pochi lake au mkoba wake, wewe huwa unachunguza anabeba nini kwenye mkoba wake?. Kwa nini huchunguzi?, ni kwasababu, hayakuhusu!.
Zanzibar ina utawala wake wa ndani, ni mambo yasiyotuhusu, hata akijiita nchi ya Zanzibar, taifa la Zanzibar, ufalme wa Zanzibar. etc, as long as kimataifa Tanzania ni nchi moja ya JMT, mambo ya Zanzibar ni yao, hayatuhusu, kuna tatizo gani?.
Tanzania ni nchi moja, yenye uraia mmoja tuu wa JMT, Zanzibar sio nchi, bali ni sehemu ya JMT, huwezi kufanya uhaini kwa eneo ambalo sio nchi!.
P
🤣🤣🤣🤣Huu ndio ukweli wa mambo, tena sio wanahisi tumewaoa, bali huyo mwanamke ndie alijitongozesha, akajibebisha, Mzee Tanganyika akachukua ngoma, akaoa, akatia ndani, analisha, anatunza, anagharimia kila kitu, mke kazi kupendeza tuu, kila kitu bure!.
Niliwahi kuuliza humu Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?
Tanzania itakuwa na wanaume wa ajabu wanao ona wivu na wake zao kwa kutamani wawe sawa kwa sawa!.
Mwacheni mkeo apendeze. Mpe kila anachokitaka!.
P
Tanzania ni nchi inayotambulikana kimataifa. kama huijui basi ni wewe peke yako
Mkuu uhaini ni nini, uhaini ni kutaka kupata madaraka bila kufuata utaratibu. Je serikali ya Tanganyika ili fuata utaratibu wa kujigeuza kuwa serikali ya Muungano???It's true katiba ya Zanzibar imefanya uhaini kujiinua na kujiita nchi na kutaja mipaka yake, ila katiba ya JMT haiitambui katiba ya Zanzibar!, kwasababu haituhusu!. Huwezi kufanya uhaini kwa sehemu ambayo sio nchi!. Katiba ya Zanzibar kujiita nchi ni kujifurahisha tuu, mwisho Chumbe!. Nchi ni moja tuu, JMT!.
Hata wewe na mkeo, anabeba pochi lake au mkoba wake, wewe huwa unachunguza anabeba nini kwenye mkoba wake?. Kwa nini huchunguzi?, ni kwasababu, hayakuhusu!.
Zanzibar ina utawala wake wa ndani, ni mambo yasiyotuhusu, hata akijiita nchi ya Zanzibar, taifa la Zanzibar, ufalme wa Zanzibar. etc, as long as kimataifa Tanzania ni nchi moja ya JMT, mambo ya Zanzibar ni yao, hayatuhusu, kuna tatizo gani?.
Tanzania ni nchi moja, yenye uraia mmoja tuu wa JMT, Zanzibar sio nchi, bali ni sehemu ya JMT, huwezi kufanya uhaini kwa eneo ambalo sio nchi!.
P
Vipi kama Akitokea Mpinzani akachukua Urais Zanzibar vipi bado unahisi hawawezi kufanya Hivyo?Mkuu mdukuzi , hilo haliwezekani aslaan!. Unakijua kilichomkuta Abdul Jumbe?. Nani atathubutu kufanya ujinga huo?. Tanzania ni nchi moja ya JMT, kitendo cha kujitoa muungano ni sawa na uhaini kwa JMT!, no one can dare do that!. Mwisho wa uwezo wao ni kwa vitimbakwiri kupiga tuu kelele!, there's nothing they can do!. Huu
Muungano wetu adimu na adhimu tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
Kutumia Sheria zipi??Naked Truth. Thread closed