Video: Ubishani ni Zanzibar ni nchi au siyo? Wenzenu upande wa Zanzibar ni Wazanzibari au Watanzania? Wasira, Rais Samia vs Tundu Lissu: Nani mkweli?

Wakiamka asubuhi moja wakapiga kura kujitoa Kwenye muungano wanasonga,tukubali kama nchi kuna tatizo la muundo au katiba,wakina Lissu wanatumia hizo loop holes kupiga kwenye mshono
Mkuu mdukuzi , hilo haliwezekani aslaan!. Unakijua kilichomkuta Abdul Jumbe?. Nani atathubutu kufanya ujinga huo?. Tanzania ni nchi moja ya JMT, kitendo cha kujitoa muungano ni sawa na uhaini kwa JMT!, no one can dare do that!. Mwisho wa uwezo wao ni kwa vitimbakwiri kupiga tuu kelele!, there's nothing they can do!. Huu
Muungano wetu adimu na adhimu tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
 
Hawa watoto wa 2000 wakiingia madarakani muungano kwa heri,
 
Kwa Zanzibar inawezekana kwasababu Zanzibar ina autonomy yake ya mambo yake ya ndani, wakati mambo ya Tanzania ni ya wote wakiwemo Wanzanzibari.

Elimu kuhusu katiba, sheria na haki ni muhimu ili watu wajue kuhusu autonomy ya Zanzibar na kuacha hizi kelele za ubaguzi, kutaka kuwabagua, tena afadhali ya sasa, mimi nimeingia Zanzibar kwa passport enzi hizo!.

P
🤣🤣🤣🤣.......nimekupata vizuri mkubwa. Autonomy Zanzibar ndo inayofanya wabara watake autonomy ya Tanganyika.
 
Dawa ni kuwepo Serikali ya Tanganyika! Kila serikali ijiamlie mambo yake kasoro Ulinzi,Uhamiaji,mambo ya nje na ndani yawe ya Muungano kama ilivyo sasa!
Tanganyika na Zanzibar zisiwe nchi bali mataifa mawili ndani ya nchi moja ya Tanzania.
 
1. Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye uraia mmoja tuu wa JMT. Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT.
2. Wananchi wa Zanzibar ni Watanzania ila pia ni wakaazi wa Zanzibar. Ukaazi sio uraia.
P
Mkuu kuna taifa la Tanzania linaloundwa na nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar. Kumbuka wajumbe wa UN ni mataifa sio nchi! Tanzania haikuwahi kuwa nchi!
 
Dawa ni kuwepo Serikali ya Tanganyika! Kila serikali ijiamlie mambo yake kasoro Ulinzi,Uhamiaji,mambo ya nje na ndani yawe ya Muungano kama ilivyo sasa!
Tanganyika na Zanzibar zisiwe nchi bali mataifa mawili ndani ya nchi moja ya Tanzania.
Mkuu serikali iliyopo ni ya Tanganyika ila ililzimisha kibabe iwe serikali ya Tanzania.

Maana hakuna utaratibu uliofanyika wa kuunda muungano isipokuwa Nyerere (Tanganyika) aliamka asubuhi na decree ya kubinafsisha Tanganyika kuwa Tanzania!

Hatujawahi kuwa na serikali ya Muungano!
Mimi nimezaliwa Tanzania, na wengi wetu tumezaliwa Tanzania, waliozaliwa Tanganyika wote by now ni wastaafu, wako over 60 years, na walipopata akili, walikuwa tayari Tanzania, ni Watanganyika gani hao wa kuililia Tanganyika na kujivunia Tanganyika?.

Muungano ni kama ndoa, Zanzibar ni kama mwenza, sasa wewe kama mwenza wako anajipodoa, na wewe utataka kujipodoa ili mlingane?. Hebu acheni hizi kitu!.
P
Mkuu are sure huu mfano uliotumia unaakisi the reality uliyo taka kupresent au unakimbia hoja kwa mfano mwepesi???
 
1. Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye uraia mmoja tuu wa JMT. Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT.
2. Wananchi wa Zanzibar ni Watanzania ila pia ni wakaazi wa Zanzibar. Ukaazi sio uraia.
P
Mkuu Pascal Mayalla
Mwanahabari Nguli na Wakili Msomi nakusalimu!

Ulifanikuwa Kusoma Katiba Ya zanzibar ya mwaka 1984 yenye marekebisho ya 2010?
Vipi kuhusu Sheria namba 5 ya mwaka 1985 au Sheria ya Mzanzibari ya Mwaka 1985?

Jaribu Kuipitia Itapata Majibu Maana Inajenga Msingi wa Katiba Ibara ya 6 ya zanzibar kuhusu Uraia wa Mzanzibar na Mtanzania..

Pia Soma Katiba Ya JMT ibara ya 1 na ya 2 kisha turudi kwenye Mjadala wa Kisheria
 
Mimi nimezaliwa Tanzania, na wengi wetu tumezaliwa Tanzania, waliozaliwa Tanganyika wote by now ni wastaafu, wako over 60 years, na walipopata akili, walikuwa tayari Tanzania, ni Watanganyika gani hao wa kuililia Tanganyika na kujivunia Tanganyika?.

Muungano ni kama ndoa, Zanzibar ni kama mwenza, sasa wewe kama mwenza wako anajipodoa, na wewe utataka kujipodoa ili mlingane?. Hebu acheni hizi kitu!.
P
Mkuu Pascal Shida ni aina ya Muungano Tanzania Iliyoingia..
Kama unakumbuka Kitabu cha mwalimu Nyerere Aliwahi kusema Alianzisha Muungano ambao Sio yeye tu ambaye alikuwa Mgeni nao hata Dunia nzima..
Ila anaelezea Kuhsu aina za Muungani Serikali moja, Shririkisho..
Ila hakufanya Hivyo...

Unahisi Tunahitaji aina gani ya Muungano??
 
It's true katiba ya Zanzibar imefanya uhaini kujiinua na kujiita nchi na kutaja mipaka yake, ila katiba ya JMT haiitambui katiba ya Zanzibar!, kwasababu haituhusu!. Huwezi kufanya uhaini kwa sehemu ambayo sio nchi!. Katiba ya Zanzibar kujiita nchi ni kujifurahisha tuu, mwisho Chumbe!. Nchi ni moja tuu, JMT!.

Hata wewe na mkeo, anabeba pochi lake au mkoba wake, wewe huwa unachunguza anabeba nini kwenye mkoba wake?. Kwa nini huchunguzi?, ni kwasababu, hayakuhusu!.

Zanzibar ina utawala wake wa ndani, ni mambo yasiyotuhusu, hata akijiita nchi ya Zanzibar, taifa la Zanzibar, ufalme wa Zanzibar. etc, as long as kimataifa Tanzania ni nchi moja ya JMT, mambo ya Zanzibar ni yao, hayatuhusu, kuna tatizo gani?.

Tanzania ni nchi moja, yenye uraia mmoja tuu wa JMT, Zanzibar sio nchi, bali ni sehemu ya JMT, huwezi kufanya uhaini kwa eneo ambalo sio nchi!.

P
Lakini Unajua Kuwa Katiba ya zanzibar ina Nguvu kisheria Pia??
 
Huu ndio ukweli wa mambo, tena sio wanahisi tumewaoa, bali huyo mwanamke ndie alijitongozesha, akajibebisha, Mzee Tanganyika akachukua ngoma, akaoa, akatia ndani, analisha, anatunza, anagharimia kila kitu, mke kazi kupendeza tuu, kila kitu bure!.

Niliwahi kuuliza humu Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe?

Tanzania itakuwa na wanaume wa ajabu wanao ona wivu na wake zao kwa kutamani wawe sawa kwa sawa!.
Mwacheni mkeo apendeze. Mpe kila anachokitaka!.

P
🤣🤣🤣🤣
 
Tanzania ni nchi inayotambulikana kimataifa. kama huijui basi ni wewe peke yako

It's true katiba ya Zanzibar imefanya uhaini kujiinua na kujiita nchi na kutaja mipaka yake, ila katiba ya JMT haiitambui katiba ya Zanzibar!, kwasababu haituhusu!. Huwezi kufanya uhaini kwa sehemu ambayo sio nchi!. Katiba ya Zanzibar kujiita nchi ni kujifurahisha tuu, mwisho Chumbe!. Nchi ni moja tuu, JMT!.

Hata wewe na mkeo, anabeba pochi lake au mkoba wake, wewe huwa unachunguza anabeba nini kwenye mkoba wake?. Kwa nini huchunguzi?, ni kwasababu, hayakuhusu!.

Zanzibar ina utawala wake wa ndani, ni mambo yasiyotuhusu, hata akijiita nchi ya Zanzibar, taifa la Zanzibar, ufalme wa Zanzibar. etc, as long as kimataifa Tanzania ni nchi moja ya JMT, mambo ya Zanzibar ni yao, hayatuhusu, kuna tatizo gani?.

Tanzania ni nchi moja, yenye uraia mmoja tuu wa JMT, Zanzibar sio nchi, bali ni sehemu ya JMT, huwezi kufanya uhaini kwa eneo ambalo sio nchi!.

P
Mkuu uhaini ni nini, uhaini ni kutaka kupata madaraka bila kufuata utaratibu. Je serikali ya Tanganyika ili fuata utaratibu wa kujigeuza kuwa serikali ya Muungano???

Haikufanya uhaini kujinyonga bila idhini ya wananchi wake ili iwe serikali ya Muungano???

Mkuu wakati wa muungano ni nchi gani ilikuwa jike na ipi ilikuwa dume???

Na kama zote zilikuwa majike ilikuwaje nchi moja ikawa dume baada ya Muungano???
 
Mkuu mdukuzi , hilo haliwezekani aslaan!. Unakijua kilichomkuta Abdul Jumbe?. Nani atathubutu kufanya ujinga huo?. Tanzania ni nchi moja ya JMT, kitendo cha kujitoa muungano ni sawa na uhaini kwa JMT!, no one can dare do that!. Mwisho wa uwezo wao ni kwa vitimbakwiri kupiga tuu kelele!, there's nothing they can do!. Huu
Muungano wetu adimu na adhimu tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
Vipi kama Akitokea Mpinzani akachukua Urais Zanzibar vipi bado unahisi hawawezi kufanya Hivyo?

Kumbuka katika katiba ya zanzibar Rais Anafanya maamuzi Mwenyewe Bila kufata Ushauri wa mtu yoyote..
 
Back
Top Bottom