Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Ndio hivyo mkuuNa siku moja obviously wataingia madarakani maana Wazee wote watakuwa wamesha goo. !!😅🙏
WaZanzibar wana Katiba yao, Rais wao na Jeshi lao JKU. Wakati watanganyika wote hatuna Rais wala katiba!.Hiyo ya Wananchi wa Zanzibar imekaaje .....!!?
Hivi kusema Wananchi wa Mwanza, Wananchi wa Mbeya au Wananchi wa Moshi ni sawa pia....!!?
Naunga mkono hoja. Nimezaliwa mwaka 1960 na Muungano umenikuta nina mika 4. Nimesoma kwenye nchi ya Tanzania hadi shahada ya uzamili ndani ya Tanzania.Mimi nimezaliwa Tanzania, na wengi wetu tumezaliwa Tanzania, waliozaliwa Tanganyika wote by now ni wastaafu, wako over 60 years, na walipopata akili, walikuwa tayari Tanzania, ni Watanganyika gani hao wa kuililia Tanganyika na kujivunia Tanganyika?.
Muungano ni kama ndoa, Zanzibar ni kama mwenza, sasa wewe kama mwenza wako anajipodoa, na wewe utataka kujipodoa ili mlingane?. Hebu acheni hizi kitu!.
P
Tanzania imeingia kwenye matumizi ya Akili Mnembe AI, wakati humu jukwaani bado tunahoji masuala ya muungano!.View attachment 2991056
Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa;
Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo....
Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana na kukubali kuwa lipo tatizo ktk muungano huu linalostahili kutatuliwa sasa na sio kesho kama tunataka kuendelea nao...
Leo katika video hiyo☝🏻☝🏻 ni makala ya uchambuzi toka kwa mchambuzi nguli wa maswala ya kisiasa, kijamii na kiuchumi ndugu Ansbert Ngurumo kupitia YouTube channel yake [SK Media Online TV] anayeishi uhamishoni Uingereza
Katika uchambuzi huu, Ansbert Ngurumo anazimulika kauli za watu watatu juu muungano wa Tanganyika na Zanzibar (1964) ambao ni;
1. Mzee Steven Wassira a.k.a Tyson (CCM)
2. Rais Samia Suluhu Hassan (CCM)
3. Tundu Antipasy Lissu (CHADEMA)
Hawa wote wanajibu maswali mawili muhimu yafuatayo ambayo ndiyo msingi mkuu wa ubishani unaoendelea sasa ktk muungano huu;
1. KWAMBA, Zanzibar ni nchi au sio nchi?
2. KWAMBA, Watu au wananchi wa nchi ya Zanzibar ni Watanzania au Wazanzibari?
Nani mkweli kati ya hawa watu watatu kuhusu muungano wetu? Nini maoni yako? Tatizo liko wapi? Ni kitu gani kinafichwa kupitia muungano huu?
Tazama na sikiliza video hiyo ya dakika 14 tu hadi mwisho kisha tumia akili yako kupima mwenyewe halafu sema kitu.
Na bila shaka kasi ya internet imeboreka kiasi chake na hivyo kila mtu ataifungua video hii bila kuhangaika sana..
==========================================
Vyote hivyo ulivyovitaja ni sawa na midoli inayomilikiwa na mwanao wa miaka 4 nyumbani.Wana Rais,wimbo wa Taifa,bendera,bunge,baraza la mawaziri,mipaka,ni vile tu hawana kiti UN ila ni nchi kamili
Wengi wanaunga mkono Tanganyika kwa sababu ya chuki kwa Samia na haswa uislamu wake. Kuhoji juu ya Tanganyiko ni kificho tu cha chuki zao dhidi ya uislam wa Rais.Naunga mkono hoja. Nimezaliwa mwaka 1960 na Muungano umenikuta nina mika 4. Nimesoma kwenye nchi ya Tanzania hadi shahada ya uzamili ndani ya Tanzania.
Leo hii nitakuwa kichaaa kudai Tanganyika. Tanganyika ili cease 1964 na sijawahi kupungukiwa kitu kwa kutokuwapo kwa Tanganyika.
Wengi wa wanaochangia huu mjadala wanafurahishwa na uropokaji wa Lissu tu lakini ukiwauliza Ta ganyika itakupa nini ambacho leo huna ndani ya Tanzania wanabaki hawana jibu.
Kwa mfano ardhi huko Tanzania bara tuna 945,000 Square kilometres na mapori kibao. Mtu hajashika hata ekari moja kwenye mapori ya Kisarawe, ila anatamani apate ardhi ZNZ yenye 2,045 Square kilometres, its absurd and weird
Katiba ya Zanzibar ibara ya kwanza inatamka wazi kuwa Zanzibar ni nchi, halafu wewe unasema Zanzibar siyo nchi !!!Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT.
Hii Ni ngumu sana!United States of Tanzania !!??
You have hit the jackpot 🎰 🙏 !Wengi wanaunga mkono Tanganyika kwa sababu ya chuki kwa Samia na haswa uislamu wake. Kuhoji juu ya Tanganyiko ni kificho tu cha chuki zao dhidi ya uislam wa Rais.
Magufuli angekuwa hai mpaka leo usingesikia hoja hizi zikijadiliwa, ni hawa hawa waliomtazama Samia kama mtu anayeleta waarabu pale bandarini wakishindwa kuona kuwa ni suala lililo ndani ya ilani ya uchaguzi ya CCM, Chuki zinawapofusha.
Tanzania Ili Cease mwaka 1965..Naunga mkono hoja. Nimezaliwa mwaka 1960 na Muungano umenikuta nina mika 4. Nimesoma kwenye nchi ya Tanzania hadi shahada ya uzamili ndani ya Tanzania.
Leo hii nitakuwa kichaaa kudai Tanganyika. Tanganyika ili cease 1964 na sijawahi kupungukiwa kitu kwa kutokuwapo kwa Tanganyika.
Wengi wa wanaochangia huu mjadala wanafurahishwa na uropokaji wa Lissu tu lakini ukiwauliza Ta ganyika itakupa nini ambacho leo huna ndani ya Tanzania wanabaki hawana jibu.
Kwa mfano ardhi huko Tanzania bara tuna 945,000 Square kilometres na mapori kibao. Mtu hajashika hata ekari moja kwenye mapori ya Kisarawe, ila anatamani apate ardhi ZNZ yenye 2,045 Square kilometres, its absurd and weird
Una Miaka Mingapi Kijana?Wengi wanaunga mkono Tanganyika kwa sababu ya chuki kwa Samia na haswa uislamu wake. Kuhoji juu ya Tanganyiko ni kificho tu cha chuki zao dhidi ya uislam wa Rais.
Magufuli angekuwa hai mpaka leo usingesikia hoja hizi zikijadiliwa, ni hawa hawa waliomtazama Samia kama mtu anayeleta waarabu pale bandarini wakishindwa kuona kuwa ni suala lililo ndani ya ilani ya uchaguzi ya CCM, Chuki zinawapofusha.
Unazingua kuingiza udini bora useme uzanzibari wake,hakuna mwenye shida ya uislam au ukristo wa mtu,JPM alikuwa gaidi usingethubutu kuongea ongea angekuuaWengi wanaunga mkono Tanganyika kwa sababu ya chuki kwa Samia na haswa uislamu wake. Kuhoji juu ya Tanganyiko ni kificho tu cha chuki zao dhidi ya uislam wa Rais.
Magufuli angekuwa hai mpaka leo usingesikia hoja hizi zikijadiliwa, ni hawa hawa waliomtazama Samia kama mtu anayeleta waarabu pale bandarini wakishindwa kuona kuwa ni suala lililo ndani ya ilani ya uchaguzi ya CCM, Chuki zinawapofusha.
Kwa hiyo shida ya "kutojitambua" iko upande wetu wa pili yaani Tanganyika..
Tanganyika na Watanganyika wako wapi?
Jina halisi la nchi hii kumbe linapaswa kuwa ni
"Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar"
na siyo
"Jamhuri ya Muungano wa Tanzania"
Hili jina la "Tanzania" ilitoka wapi? Shida iko kweye jina hili. Uchawi uko humu ndani ya jina hili. Inawezekana vipi kiongozi mmoja anayeitwa "Julius Kambarage Nyerere" abadili jina la nchi na uraia wetu bila ya ridhaa ya wananchi wenyewe??
Huu ni wakati wa kuhoji maamuzi ya huyu aitwaye baba wa taifa hili Mwl Julius K. Nyerere..
Kuna maamuzi yake mengine mengi yalikuwa very fatal na ya hovyo sana na yanahitaji kurekebishwa sasa au kuachana nayo kabisa maana ni mitego ya mauti na kikwazo cha ustawi wetu kama taifa na nchi..
Wana Rais,wimbo wa Taifa,bendera,bunge,baraza la mawaziri,mipaka,ni vile tu hawana kiti UN ila ni nchi kamili
Hivyo hivyo !Kuna watu humu wanauliza maswali magumu magumu..
Wengine wanatumia janja janja kuzima huu mjadala
""Age of ENLIGHTIMENT ""
Kwa maana halisi ya katiba, katiba ni katiba ya JMT inayosema Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT. Aliyesema Zanzibar sio nchi sio mimi, ni katiba ya JMT.Katiba ya Zanzibar ibara ya kwanza inatamka wazi kuwa Zanzibar ni nchi, halafu wewe unasema Zanzibar siyo nchi !!!
Katiba ya JMT haitambui katiba ya Zanzibar, hivyo mimi ndie mkweli, Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT yenye utawala wake wa ndani!.Hivi kati ya wewe na Katiba ya nchi ya Zanzibar nani mkweli? Nani asikilizwe?
Nyerere katuingiza chaka
Kwa maana halisi ya katiba, katiba ni katiba ya JMT inayosema Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT. Aliyesema Zanzibar sio nchi sio mimi, ni katiba ya JMT.
Katiba ya JMT haitambui katiba ya Zanzibar, hivyo mimi ndie mkweli, Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT yenye utawala wake wa ndani!.
Kwa vile Zanzibar ina uhuru na utawala wake wa ndani, katiba ya Zanzibar na kujiita ni nchi, ni mambo yao ya ndani, sisi hayatuhusu!, ukiwa ndani kwako, uko huru kufanya chochote, hata kujiita vyovyote as long as ni mwisho Chumbe!.
P