Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

Zumarid alidai mwaka jana atamrejesha Kanumba hadi alimualika mama Kanumba kanisani kwake.

Kanumba yupo jela ya ulimwengu usioonekana kwa kukiuka masharti, zumarid atawezaje kumtoa kumtoa jela.
Mh....
 
Jibu lipo kwenye desperate ya maisha. Mengine kwa kiasi kidogo sana
 
Yaani serikali imefikia huko kutumia kodi zetu kushughulika na mambo yasiyo ya tija labda kama wameamua kumpa kiki.
 
Back
Top Bottom