Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anawaapeleka wapiAlikuwa anafanya Human trafficking. Taarifa zake zipo, so dini ilikuwa Kivuli tu,mkuu
Kwani waganga wa kienyeji wanavyochezea akili za watu wasomi wazima kufanywa mandondocha uoni kama ni tatizo.Ile ndio alimaliza pale MJ mizumu imekuja imecheza na kuondoka. Hapa shida sio MJ ni wale wanaoshangilia hivi kweli uwezo wetu wa watu kufikiri umefikia hapo? hili suala sio la kuliangalia kijuujuu tu ni serious issue wa kizazi kijacho. Haya madhehebu fake wanapata wapi license ya kufanya haya mpaka watu wanakuwa hawawezi tena kujielewa.
Sasa wapi nimesema sio tatizo? hapa tunaongelea huyu mdada sasa wewe unaleta hoja ya kijumla.Kwani waganga wa kienyeji wanavyochezea akili za watu wasomi wazima kufanywa mandondocha uoni kama ni tatizo.
Dini haina tatizoDini ni ujinga
Embu shangaa na ww kidogo[emoji23][emoji23][emoji23]Zamani nilikuwa najua Mfalme ni WA Kiume na Wakike ni Malkia ila Sasa sijui Mambo ndo kugeuka kwenye we au ndo tumepitwa na wakati......!
Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani [emoji23][emoji23][emoji23], na kuna watu wanashangilia wanaona huyu nabii anatupiga na kitu kizito.
Hivi kwa kupitia shuhuda hizi za uongo tena uongo wa wazi wazi nadhani uhitaji kua na degree wala elimu ya form four kujua kabisa huyu Mchungaji ni Muongo na anatupiga.
Kwa matukio kama haya yanayoendelea kwa watumishi wetu tunaowaita "wapakwa mafuta" watu wanaendeleaje kukaa kanisani kila jumapili kushuhudia maigizo kama haya?.
Zamani kidogo niliangalia YouTube nikipata hiyo link ya video nitaituma humu, inahusu yule Mwanahabari Mohammed ambae sasahivi ni Member of parliament alifichua maovu ya mchungaji mmoja huko Kenya jinsi alivyokua anawapanga waumini wake waseme ushuhuda wa uongo.
Nimejaribu kufungulia hizi channel za hawa wachungaji sioni kama wakihubiri kuhusu wokovu, toba, msamaha, kuwasaidia wajane naona wanahubiri sana kuhusu mafanikio na uponyaji yani utasikia toeni sadaka ya mavuno, bahasha ya kufunguliwa n.k
Dini safi isiyo na shaka mbele ya za Mungu ni kuwasaidia wajane na wenye uhitaji kutembelea wagonjwa na kufanya matendo ya huruma.
Ukizingatia na ww upo Mwanza hujaendaga kupata miujiza kwa nabii Zumaridi kweli?[emoji23][emoji23]Wamuache zumaridi ana kosa gani hapo?
Wajinga ndio wali wao au sio?Na bonge la nyumba wamemjengea. Unaambiwa mama Kanumba kamaliza mamilion kwa huyu dada eti atamfufua Kanumba. Watu wanauza nyumba wanapeleka kwa huyu dada akiwaaminisha atawafufua wapendwa wao waliotangulia mbele ya haki. Hata Biblia hatumii. Yeye ni maneno tu. Eti ni mungu wao. Ana wafuasi kama wote.
Wewe unacheza na mambo ya imani,Imani ni kama ukichaa fulani kwa yule asiye wa imani hiyo.Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu wanashangilia wanaona huyu nabii anatupiga na kitu kizito.
Hivi kwa kupitia shuhuda hizi za uongo tena uongo wa wazi wazi nadhani uhitaji kua na degree wala elimu ya form four kujua kabisa huyu Mchungaji ni Muongo na anatupiga.
Kwa matukio kama haya yanayoendelea kwa watumishi wetu tunaowaita "wapakwa mafuta" watu wanaendeleaje kukaa kanisani kila jumapili kushuhudia maigizo kama haya?.
Zamani kidogo niliangalia YouTube nikipata hiyo link ya video nitaituma humu, inahusu yule Mwanahabari Mohammed ambae sasahivi ni Member of parliament alifichua maovu ya mchungaji mmoja huko Kenya jinsi alivyokua anawapanga waumini wake waseme ushuhuda wa uongo.
Nimejaribu kufungulia hizi channel za hawa wachungaji sioni kama wakihubiri kuhusu wokovu, toba, msamaha, kuwasaidia wajane naona wanahubiri sana kuhusu mafanikio na uponyaji yani utasikia toeni sadaka ya mavuno, bahasha ya kufunguliwa n.k
Dini safi isiyo na shaka mbele ya za Mungu ni kuwasaidia wajane na wenye uhitaji kutembelea wagonjwa na kufanya matendo ya huruma.
Binafsi nisingebanduka church sio kwa entertainments hizoHahaha, Mkuu unamuona Michael Jackson wa mchongo? Ningekua kanisani ningeondoka mda huo huo.
Kwa hao Russia na Ukraini?? naon wenyew hawajisomi, mara wanatetea ushoga,mara nn. Now wanauana huko.Daah, mbona naona aibu mimi? , hivi kwanini tusirudishwe utumwani tu hadi akili itukae sawa? Nyie mnaonaje eti?
nahis kesi ikiendelea tutajua mkuu. ila kuna file lake la mtu aliyepiga naye harakat za maisha,alinipa hata sijashtukaAnawapeleka wapi?
Alikuambiaje huwa anafanya biashara gani?nahis kesi ikiendelea tutajua mkuu. ila kuna file lake la mtu aliyepiga naye harakat za maisha,alinipa hata sijashtuka