Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

Mbona ujashangaa kwa:-

-Wakatoliki kubusu sanamu ya Yesu na kupigia magoti sanamu ya Bikira Maria

-Waislamu kubusu kipande cha kimondo na kumpiga mawe shetani

-walokole kunena kwa lugha kama vichaa

-Wakristo kwa ujumla kuamini Yesu alikufa halafu akafufuka (hakuna kiumbe kinachoweza kufa halafu kikafufuka)

Ukimaliza kushangaa haya ndio uje kushangaa na mengine

"Religion was invented by a Con man"
 
Conclusion yako ni hipi Mkuu tusiende kanisani kabisa? Nadhani nimeconclude vizuri hapo chini kuhusu dini safi ni hipi....
 
Nimecheka sana yaani huyu Michael Jackson wa mchongo ana kiuno kigumu sijapata ona.

Kama dini zenyewe ndio hizi bora niendelee kujinywea zangu pombe, maana binadamu mwenye akili timamu hawezi vumilia haya maigizo.

Halafu kwenye video nzima nimegundua hawa mama zetu wa kiafirika wana shida mahali maana ndio wamejaza kanisa lote wakimsifu mungu mtu zamarudi
 
IMG_20220302_162615.jpg
 
Shida nyingine ni huo wimbo alioperfom kanisani huyo MJ wa michongo 😂😂
 
nawaelewa sana kwanini Poland wanawazuia waafrika wasivuke mpaka kwenda kuchafua nchi yao kwa Ujinga
ndiyo mambo kama hayo kwenye video sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah
 
Dah kumbe Michael Jackson kiswahili kinapanda! maana naona Mfalme Zumaridi anamshukuru kwa kiswahili wakati Michael Jackson anaondoka...na kumbe Michael Jackson alikuwa mtumishi wa Mungu....Dah....sasa naweza kuamini yale niliyokuwa nikiambia...."kuwa uyaone ya dunia"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah
 
Back
Top Bottom