Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu wanashangilia wanaona huyu nabii anatupiga na kitu kizito.
Hivi kwa kupitia shuhuda hizi za uongo tena uongo wa wazi wazi nadhani uhitaji kua na degree wala elimu ya form four kujua kabisa huyu Mchungaji ni Muongo na anatupiga.
Kwa matukio kama haya yanayoendelea kwa watumishi wetu tunaowaita "wapakwa mafuta" watu wanaendeleaje kukaa kanisani kila jumapili kushuhudia maigizo kama haya?.
Zamani kidogo niliangalia YouTube nikipata hiyo link ya video nitaituma humu, inahusu yule Mwanahabari Mohammed ambae sasahivi ni Member of parliament alifichua maovu ya mchungaji mmoja huko Kenya jinsi alivyokua anawapanga waumini wake waseme ushuhuda wa uongo.
Nimejaribu kufungulia hizi channel za hawa wachungaji sioni kama wakihubiri kuhusu wokovu, toba, msamaha, kuwasaidia wajane naona wanahubiri sana kuhusu mafanikio na uponyaji yani utasikia toeni sadaka ya mavuno, bahasha ya kufunguliwa n.k
Dini safi isiyo na shaka mbele ya za Mungu ni kuwasaidia wajane na wenye uhitaji kutembelea wagonjwa na kufanya matendo ya huruma.
Alafu anamuita Michael Jackson mtumishi wa munguShida nyingine ni huo wimbo alioperfom kanisani huyo MJ wa michongo 😂😂
Na waumini wake wote wanamuita BabaZamani nilikuwa najua Mfalme ni WA Kiume na Wakike ni Malkia ila Sasa sijui Mambo ndo kugeuka kwenye we au ndo tumepitwa na wakati......!
😂😂😂 This evil generation seek for signs ........boss hapo ndo wengi wanaokotwa hujajiuliza kwanini wengi wanaongozana kwa kina mwamposa na so on wanafata miujuza tu ukiweza kudanganya at miujuza miwili tu sadaka unazo 😁😁😁Yaani Mimi sijashangaa Sana hicho kitu..sema huyu suala lake linavuma saiv kutokana na kesi yake polisi lakini wachungaji na manabii wengi wanafanya uogo na vituko vingi. Ukikaa ukijiuza hivi waumini Ni shida ya akili au desperate ya maisha au wametupiwa nguvu fulani wasione etc.....mtu na akili yako timamu unaweza kwenda kusali hata kwa nabii billionaire shillah kweli...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
kujinywea zangu pombe
Mpende jirani yako kwa moyo wako wote na kwaakili yako yote na Upendo ndio amri kuuConclusion yako ni hipi Mkuu tusiende kanisani kabisa? Nadhani nimeconclude vizuri hapo chini kuhusu dini safi ni hipi....
Na kwanini uingie sehemu ya kijinga kama hiyo?Hahaha, Mkuu unamuona Michael Jackson wa mchongo? Ningekua kanisani ningeondoka mda huo huo.
Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu wanashangilia wanaona huyu nabii anatupiga na kitu kizito.
Hivi kwa kupitia shuhuda hizi za uongo tena uongo wa wazi wazi nadhani uhitaji kua na degree wala elimu ya form four kujua kabisa huyu Mchungaji ni Muongo na anatupiga.
Kwa matukio kama haya yanayoendelea kwa watumishi wetu tunaowaita "wapakwa mafuta" watu wanaendeleaje kukaa kanisani kila jumapili kushuhudia maigizo kama haya?.
Zamani kidogo niliangalia YouTube nikipata hiyo link ya video nitaituma humu, inahusu yule Mwanahabari Mohammed ambae sasahivi ni Member of parliament alifichua maovu ya mchungaji mmoja huko Kenya jinsi alivyokua anawapanga waumini wake waseme ushuhuda wa uongo.
Nimejaribu kufungulia hizi channel za hawa wachungaji sioni kama wakihubiri kuhusu wokovu, toba, msamaha, kuwasaidia wajane naona wanahubiri sana kuhusu mafanikio na uponyaji yani utasikia toeni sadaka ya mavuno, bahasha ya kufunguliwa n.k
Dini safi isiyo na shaka mbele ya za Mungu ni kuwasaidia wajane na wenye uhitaji kutembelea wagonjwa na kufanya matendo ya huruma.
Mbona ujashangaa kwa:-
-Wakatoliki kubusu sanamu ya Yesu na kupigia magoti sanamu ya Bikira Maria
-Waislamu kubusu kipande cha kimondo na kumpiga mawe shetani
-walokole kunena kwa lugha kama vichaa
-Wakristo kwa ujumla kuamini Yesu alikufa halafu akafufuka (hakuna kiumbe kinachoweza kufa halafu kikafufuka)
Ukimaliza kushangaa haya ndio uje kushangaa na mengine
"Religion was invented by a Con man"
Magufuli anakumbukwa kwa namna tofauti tofauti.
Hivi kwanini ukirsto ndio unachezewa sana?
Nimejaribu kufungulia hizi channel za hawa wachungaji sioni kama wakihubiri kuhusu wokovu, toba, msamaha, kuwasaidia wajane naona wanahubiri sana kuhusu mafanikio na uponyaji yani utasikia toeni sadaka ya mavuno, bahasha ya kufunguliwa n.k
Dini safi isiyo na shaka mbele ya za Mungu ni kuwasaidia wajane na wenye uhitaji kutembelea wagonjwa na kufanya matendo ya huruma.
Nabii Shila ana muujiza wake mmoja huo wa maombezi mkiwa wawili ofisini kwake ambao inabidi amuue kuku kimya-kimya katikati ya sala kabla muumini hajafungua macho.😂😂😂 This evil generation seek for signs ........boss hapo ndo wengi wanaokotwa hujajiuliza kwanini wengi wanaongozana kwa kina mwamposa na so on wanafata miujuza tu ukiweza kudanganya at miujuza miwili tu sadaka unazo 😁😁😁
Unaweza kukuta ana uume na anawarudi hao waumini. Watu wa aina hii wako wengi.Na waumini wake wote wanamuita Baba
Piga pesa weee zumaridiZumarid sio gaidi
wapumbav hawawez kuisha dunian so zumarid kaksannya wapumbav wenzie acha awpge ela wajinga flan ivi ww na akil zako unaweza kwenda kushlik ujnga km huo...Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani [emoji23][emoji23][emoji23], na kuna watu wanashangilia wanaona huyu nabii anatupiga na kitu kizito.