Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
malaika anakimbia???? duh
Angeimba basi tusikie na sauti 😄MJ Tena!...ingia MJ, na jamaa MJ feki katumwa kazi kweli,unakuta hapo daaah Hana ajira Mr MJ wa uongo alafu katoka chuo juzi kapewa mchongo karuka nao,daaaah...
Angeimba angeharibu dili mkuu...Angeimba basi tusikie na sauti 😄
Kwanza serkali ikubali ni mlinz wa raia hata dhid yake mwenyewe. Mtu kuamini kwa namna inayodhuru ustawi wake mwenyewe ni aina ya kujidhuru.Nisaidie kuuliza mkuu! Inasikitisha! Natamani iwekwe sheria kali ya kuzuia haya makanisa uchwara
Kwanza serkali ikubali ni mlinz wa raia hata dhid yake mwenyewe. Mtu kuamini kwa namna inayodhuru ustawi wake mwenyewe ni aina ya kujidhuru.
Walau Rwanda waliona mbali, ili ufungue kanisa lazma ukuwe na degree ya theolojia. Watu kama Tito na huyu Zumaridi yatakuja kutokea ya Kibwetere.
Ipatkane court precedent inayoweka tafsir nzur yenye afya kuhusu haki ya kuabudu na wajibu wa waamini. Serkali ishikirie katika kulinda raia wake. Ipandkize waumin wa tiss kila kanisa.
Pia ije sheria ya taasisi za dini kulipa kodi. Msingi wa kodi ni tozo kwa unachovuna, na Mungu hapokei sadaka popote!
Serkali itambue mitaala yetu ina nyufa za kutoa elim na maarifa kwa mpigo. Watu wakifikwa na changamoto wanadhan kuna wa kutatua kimiujiza!
Pia viongoz wapunguze ubinafs. Ustawi mbovu wa jamii unazalisha wapigaj na mazombi kama ya Mwanza.
Hakuna haki bila wajibu!
Nimecheka kwa sauti japo sikutakiwa kucheka.Mbona ujashangaa kwa:-
-Wakatoliki kubusu sanamu ya Yesu na kupigia magoti sanamu ya Bikira Maria
-Waislamu kubusu kipande cha kimondo na kumpiga mawe shetani
-walokole kunena kwa lugha kama vichaa
-Wakristo kwa ujumla kuamini Yesu alikufa halafu akafufuka (hakuna kiumbe kinachoweza kufa halafu kikafufuka)
Ukimaliza kushangaa haya ndio uje kushangaa na mengine
"Religion was invented by a Con man"
Wewe jamaa umenifanya nicheke mbele za watu.Zumarid sio gaidi
ndoushangae watu wanajitoa kabisa kuruka ruka kama mazombi na bado wanaona ni sawaHahaha, Mkuu unamuona Michael Jackson wa mchongo? Ningekua kanisani ningeondoka mda huo huo.
Achana kabisa na kitu kinaitwa brainwash ya imani,we unaona watu wanajitoa ufahamu kabisa wanapigana kuuwa wasio na hatia kwa ahadi ya kupewa bikirandoushangae watu wanajitoa kabisa kuruka ruka kama mazombi na bado wanaona ni sawa
Alikuwa anafanya Human trafficking. Taarifa zake zipo, so dini ilikuwa Kivuli tu,mkuuWamuache zumaridi ana kosa gani hapo?
Kuna video moja alikuwa anasema, Yesu ,yesu ni wizi mtupu, AiseeeeNa bonge la nyumba wamemjengea. Unaambiwa mama Kanumba kamaliza mamilion kwa huyu dada eti atamfufua Kanumba. Watu wanauza nyumba wanapeleka kwa huyu dada akiwaaminisha atawafufua wapendwa wao waliotangulia mbele ya haki. Hata Biblia hatumii. Yeye ni maneno tu. Eti ni mungu wao. Ana wafuasi kama wote.
Malaika tozi aliziazima kwa chriss brown.
Ile ndio alimaliza pale MJ mizumu imekuja imecheza na kuondoka. Hapa shida sio MJ ni wale wanaoshangilia hivi kweli uwezo wetu wa watu kufikiri umefikia hapo? hili suala sio la kuliangalia kijuujuu tu ni serious issue wa kizazi kijacho.Hahaha, Mkuu unamuona Michael Jackson wa mchongo? Ningekua kanisani ningeondoka mda huo huo.
Anawapeleka wapi?Alikuwa anafanya Human trafficking. Taarifa zake zipo, so dini ilikuwa Kivuli tu,mkuu