myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 166,767 Reaction score 705,461 Mar 5, 2022 #121 Kalunya said: Zumarid alidai mwaka jana atamrejesha Kanumba hadi alimualika mama Kanumba kanisani kwake. Kanumba yupo jela ya ulimwengu usioonekana kwa kukiuka masharti, zumarid atawezaje kumtoa kumtoa jela. Click to expand... Mh....
Kalunya said: Zumarid alidai mwaka jana atamrejesha Kanumba hadi alimualika mama Kanumba kanisani kwake. Kanumba yupo jela ya ulimwengu usioonekana kwa kukiuka masharti, zumarid atawezaje kumtoa kumtoa jela. Click to expand... Mh....
Jussep JF-Expert Member Joined Mar 20, 2015 Posts 330 Reaction score 368 Mar 5, 2022 #122 Alexander The Great said: Hii nchi tuliwahi sana kudai uhuru kwa wakoloni. Vile viboko vilisaidia sana kutuweka akili sawa. Ilitakiwa tutawaliwe na wakoloni mpaka mwaka 2050 au mwaka 2080 huko. Click to expand... Wanatutawala bado kwa fashion mpya
Alexander The Great said: Hii nchi tuliwahi sana kudai uhuru kwa wakoloni. Vile viboko vilisaidia sana kutuweka akili sawa. Ilitakiwa tutawaliwe na wakoloni mpaka mwaka 2050 au mwaka 2080 huko. Click to expand... Wanatutawala bado kwa fashion mpya
Jussep JF-Expert Member Joined Mar 20, 2015 Posts 330 Reaction score 368 Mar 5, 2022 #123 Jibu lipo kwenye desperate ya maisha. Mengine kwa kiasi kidogo sana
Kalunya JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 13,322 Reaction score 18,609 Mar 6, 2022 #124 Yaani serikali imefikia huko kutumia kodi zetu kushughulika na mambo yasiyo ya tija labda kama wameamua kumpa kiki.
Yaani serikali imefikia huko kutumia kodi zetu kushughulika na mambo yasiyo ya tija labda kama wameamua kumpa kiki.
amanzi30 Senior Member Joined Feb 20, 2016 Posts 108 Reaction score 54 Mar 6, 2022 #125 Duh hatari sana..Ndo tunaelekea ukingoni hivyo