Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Jamani mbona wanawatesa hawa watoto?Eti Baba na Mama Chagua CCM. Hebu wawawache watoto waenjoy utoto wao.Mwenye macho haambiwi Tazama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mbona wanawatesa hawa watoto?Eti Baba na Mama Chagua CCM. Hebu wawawache watoto waenjoy utoto wao.Mwenye macho haambiwi Tazama
Instilling stupidity in young kids. Nimefurahi wapo watano, na wanaonekana ni wale wajingawajinga, wale ambao ukiwaambia kaa hapa, wala hawanyanyuki. Ni wazi pia wazazi wao wapo kule mbele wamekaa kwenye viti.Jamani mbona wanawatesa hawa watoto?Eti Baba na Mama Chagua CCM. Hebu wawawache watoto waenjoy utoto wao.
😆😆😆😆umati umefumuka wenyewe tu mkuu
Mwenye macho haambiwi Tazama
Erythro, nilitaka kupita kimya kimya, maanake hizi mada za 'watani' ni ngumu kuzichangia; lakini nikawaza kabla sijaondoka.umati umefumuka wenyewe tu mkuu
Unaonaje kama hiyo pesa inayochezewa kwenye huo uchaguzi wa kipuuzi,ingetumika kununua dawa za Hospital, madawati & ect, ama kweli Tanzania ni nchi ambayo wananchi wake wanapenda Mambo ya kipumbavuMlisusia sasa mnatamani walau muitwe kwa hati maalumu ,kaeni huko huko muwe washangiliaji subulini 24 muone shangwe inch itasimama
State agent
Acheni gereshaMaendeleo hayana chama
Acheni geresha
umati umefumuka wenyewe tu mkuu
Hahhahah....Watoto wanakimbia maana hawaoni amani hapo
Tatizo kichwani amejaza makamasiNchi ndio ishasimama hivyo, we angalia hiyo video vizuri tu utajifunza kitu.
SafiKura zitapigwa sehemu chache sana...... Maeneo mengi CCM imepita bila kupingwa!