Video: Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Serikali za mitaa CCM, nchi yatikisika, watu wakanyagana

Salary Slip Erythrocyte britanicca Pascal Mayalla johnthebaptist Kawe Alumni mng'ato kifinga

CCM yangu nawa sihi... Tusije ingia ktk aibu nyingine, tusichakachue bokisi la msosi, chonde chonde tulizike na kura tutakazo zipata kwa maana tayari tumeshinda hata tukipata kura kumi tumeshinda kwa kishindo... Tusitake kuleta mabokisi yamejaa kura za kupika tuta aibika maana wapinzani wana observe pamoja na wageni wengine, ili waweze kutoa taarifa za uchafuzi ambao utakuwa doa...

Mtu ana weza kaa na kamera kujua idadi ya watu kuanzia asubuhi mpaka jioni na wakawa wamekuja kupiga kura ni kumi lakini tukataka hawa kumi wawe mia au 1000... Hii italeta mtafaluku

Nashauri CCM yangu tuongeze umakini ktk uchaguzi huu...

Hakukuwa na haja ya kufanya kampeni, tungefanya uhamasishaji tu wa wananchi na wanachama waweze kupiga kura...
Hakuna haja ya uchaguzi
 
Malori hayakusomba mafuriko?
Hata watu wenye malori wameahastukia janja ya ccm maana wana wakopa sana
FB_IMG_1501705533332-1.jpeg
 
Ha ha ha haaaa huu umati wa watu sijapata kuona mkutano mkubwa wa kampeni kiasi hiki ukisikia umati umetema ndio kama hivi hili ni balaa kilo 3
 
Mkuu wagombea wapo mtaani wanapiga kampeni
Salary Slip Erythrocyte britanicca Pascal Mayalla johnthebaptist Kawe Alumni mng'ato kifinga

CCM yangu nawa sihi... Tusije ingia ktk aibu nyingine, tusichakachue bokisi la msosi, chonde chonde tulizike na kura tutakazo zipata kwa maana tayari tumeshinda hata tukipata kura kumi tumeshinda kwa kishindo... Tusitake kuleta mabokisi yamejaa kura za kupika tuta aibika maana wapinzani wana observe pamoja na wageni wengine, ili waweze kutoa taarifa za uchafuzi ambao utakuwa doa...

Mtu ana weza kaa na kamera kujua idadi ya watu kuanzia asubuhi mpaka jioni na wakawa wamekuja kupiga kura ni kumi lakini tukataka hawa kumi wawe mia au 1000... Hii italeta mtafaluku

Nashauri CCM yangu tuongeze umakini ktk uchaguzi huu...

Hakukuwa na haja ya kufanya kampeni, tungefanya uhamasishaji tu wa wananchi na wanachama waweze kupiga kura...
 
Mlisusia sasa mnatamani walau muitwe kwa hati maalumu ,kaeni huko huko muwe washangiliaji subulini 24 muone shangwe inch itasimama

State agent

Hiyo tayari 24 itakuwa kama sherehe ya kukaribisha mtoto aliyepatikana kwa kubakwa.
 
Back
Top Bottom