Video: Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Serikali za mitaa CCM, nchi yatikisika, watu wakanyagana

Erythro, nilitaka kupita kimya kimya, maanake hizi mada za 'watani' ni ngumu kuzichangia; lakini nikawaza kabla sijaondoka.

Nikaona nisikose kukuchokoza.
Hivi mitaa ina wakazi wangapi? Huenda umati huo ndiyo 'nyomi' ya mtaa huo...au?
Jana ilikuwa siku ya ibada watanzania ni wacha Mungu sana , wengi walikuwa kanisani , tunatarajia leo umati utafumuka zaidi .
 
Mlisusia sasa mnatamani walau muitwe kwa hati maalumu ,kaeni huko huko muwe washangiliaji subulini 24 muone shangwe inch itasimama

State agent
Kweli kabisa. Wakisusa wengine twala. Tumezindua jana na ngoma haisimami hadi 24 kwenye kupiga kura.
 
Mnapongezana ujinga hamuoni hata wanachama wenzenu wenye kujitambua wamesusia hizo kampeni feki zenu. Hata nyie ukweli mnaujua ila kwa vile mnazihitaji hizo bk7 ndiyo mnatupia huu ukahaba wenu humu
 
Watachaguliwa viongozi utake usitake. Na watakuwa viongozi wako utake usitake!
 
Mnapongezana ujinga hamuoni hata wanachama wenzenu wenye kujitambua wamesusia hizo kampeni feki zenu. Hata nyie ukweli mnaujua ila kwa vile mnazihitaji hizo bk7 ndiyo mnatupia huu ukahaba wenu humu
Njaa haina baunsa
 
Back
Top Bottom