Hubble Telescope
JF-Expert Member
- Jan 30, 2025
- 426
- 527
Kuna Siri kubwa sana nyuma ya mafanikio ya Hawa motivational speakersWakuu,
Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.
Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana.
Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya tumbo.
Sasa hivi ni Bilionea mkubwa tu. Ana duka kubwa la hardware na anafanya mambo ya usafirishaji na ameajiri watu wengine 71
Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious
JichanganyeWakuu,

Haya maneno sio mageni Sana hapa mjiniWakuu,

Usiwe motivated kiwepesi kama kuku anayeitiwa mahindi. Hoji, Mambo si mepesi mepesi.Attitude y failure hii
Shubaaamit
Nyi watu mnachekesha sana..Nawewe kachome flash mbagara zakhiem nakupa miaka 19 na mtaji wa laki 5 leo leo af miaka 19 ijayo nikute una 7Billion
Onyo'anokho ebheee!Nyambafff
Kwa ambae hajafanya biashara ndie ataamini si kweli ila ukweli Kuna wakati biashara zinaenda poa hadi unaona utajiri huu hapaVijana hawakubali kuamini kuna wanaoanza from scratch na kufanikiwa. Wanaamini kila aliefanikiwa kapitia njia za panya ambazo hasemi. Hii yote ni ku justify kuwa kufeli kwao ndio kawaida ya maisha.
Hata mimi nimechoka mbaya ila naamini wapo matajiri waliofanikiwa from scratch kwa juhudi na jasho lao sio njia za mkato. Nimefeli kwasababu kuba vitu nimekosea kwenye mapambano.
Ukikaa na waliofanikiwa utajiona ulikosea wapi. Sisi wengine hatuna muda wa kubadili ila vijana muda bado mnao badilikeni bado mna nafasi ya kutoaboa. Ila ukiamini huwezi kutoboa bila njia za mkato endelea tu tena unatakiwa utumie hizo njia ufanikiwe.
Sasa Matusi yanatoka wapimasikini takataka wewe.
masikini mbwa takatakaSasa Matusi yanatoka wapi
First things first.Mkuu kuandika kiingereza complicated cha darasani doesn't mean kwamba you're right, it just shows kwamba una ka-ushamba fulani na lugha ya kiingereza.
Inashangaza sana kumuona myu anayetaka ushahidi kila mara kuhusu mada za imani, leo anafanya 360 kwa kitu chepesi kama hiki.
Kwa hiyo mada ikiripotiwa na chanzo kimoja ndo inakosa credibility? Hiyo tip ya fact checking nani alikupa?
Kwa hiyo ITV, Clouds na TBC wangechukua the same news piece wakaipost kwao, ndo inakuwa credible?
Mbona ulikuwaga very logical mkuu, au umeingia UVCCM?
Wabongo hamuwezi kuongea kwa hoja dhahania, uwezo wenu wa abstract thinking ni mdogo sana.acha wivu mzee.
huyo jamaa ni bilionea chipukizi watuwengi hatumjui zaidi yawanao mzunguka nakufanya nae kazi
pia kaa ukijua kua wapo mabilionea wakubwa kumzidi huyo mshkaji na huwajui kwasababu umezoea hadi uwaone kwenye vyombo vyahabari😕😕😕tena unataka uthibitishe kwenye vyombo vya habari tofauti tofauti kimoja hutaki🤣🤣🤣 mjinga wewe
wapowatu wana mawe na hawana shobo navyombo vyahabari wewe huwezi kuwajua kwasababu umezoea kuwaona mabilionea kwenye vyombo vyahabari
siku ukiona mabilionea wapya wakihojiwa kidogo kwenye vyombo hivyo kwakua huwafahamu unaanza kutoa mifano yamadawa yakulevya kumbe wenzako ni mahasla kitambo kingi na hawajawahi kuuza hata sigara🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪
JD msindikize kirangakoma na wimbo wa wivuuu mamaa wivu👉sicheki nawowote.
kiranga mwenye wivu anaupamba na kingereza kingi😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
kwahio mtu asipohojiwa navyombo vyahabari vingi kuhusu ubilionea wake unapatwa namashaka?unahisi sio kweli?Wabongo hamuwezi kuongea kwa hoja dhahania, uwezo wenu wa abstract thinking ni mdogo sana.
Mimi simjui huyo jamaa. Wala simuongelei yeye.
Naongelea a general rule of news verificayion ambayo wewe sitaki shule unapaswa kujifunza.
Katika dunia ya leo ya fake news na kulishana matango pori sana, habari ya kutika chanzo kimoja, ya kuhusu hicho chanzo, ina low credibility.
Habari hiyo inatakiwa kuhakikiwa kwa kutolewa kwenye chanzo kingine.
Hii ni general rule, waandishi wa habari wanaielewa, wala si wivu kwa mtu fulani.
Sasa mimi nikisema habari ina low credibility kwa kuwa inetolewa na chanzo kimoja, tena mtu mwenyewe, unafikiaje hitimisho kuwa ni wivu?
Umeshindwa kujadili hoja za jifalsafa unakimbikia habari ya wivu kama mipasho ya taarabu?
Wewe kwanza hata comprehensi9n level yako ni ndogo.kwahio mtu asipohojiwa navyombo vyahabari vingi kuhusu ubilionea wake unapatwa namashaka?unahisi sio kweli?
unadhani mabilionea wote hapa Tanzania unawajua?
acha kuzuga mjinga wewe.kwani kuhusu kuhojiwa huyo bilionea si ilisema unataka uone akihojiwa na chombo zaidi yakimoja?Wewe kwanza hata comprehensi9n level yako ni ndogo.
Hujui kusoma kwa ufahamu.
Wapi nimetaja vyombo vya habari vingi?
Unqjua kusoma kwa ufahamu wewe?