Mkuu kuandika kiingereza complicated cha darasani doesn't mean kwamba you're right, it just shows kwamba una ka-ushamba fulani na lugha ya kiingereza.
Inashangaza sana kumuona myu anayetaka ushahidi kila mara kuhusu mada za imani, leo anafanya 360 kwa kitu chepesi kama hiki.
Kwa hiyo mada ikiripotiwa na chanzo kimoja ndo inakosa credibility? Hiyo tip ya fact checking nani alikupa?
Kwa hiyo ITV, Clouds na TBC wangechukua the same news piece wakaipost kwao, ndo inakuwa credible?
Mbona ulikuwaga very logical mkuu, au umeingia UVCCM?
First things first.
Inferiority complex yako kuhusu Kiingereza ni tatizo lako, si langu.
Hicho si Kiingereza complicated, ni cha kawaida, ukikiona complicated wewe ndiye mwenye tatizo Kiingereza cha kawaida unakiita complicated. Hilo ni tatizo lako, si langu.
Habari ya mtu, iliyotolewa na huyo mtu mwenyewe, bila kuwa na chanzo cha pili tofauti kinachoitoa hivyo hivyo, ni habari yenye low credibility.
Walioenda shule za uandishi wa habari wanaelewa hili jambo kuwa ni la wazi na msingi kabisa.
Waliojielimisha wenyewe kuhusu haya mambo wanaelewa hilo pia.
Tatizo wewe hujasoma haya mambo kwenye elimu rasmi wala hujajielimisha mwenyewe.
Na kila unavyopinga jambo la msingi kama hili, unazidi kuonesha utupu wako.
Kwamba wewe si mjinga tu, wewe ni mjinga mbishi.
Unaruhusiwa juwa mjinga, utaelinushwa. Unaruhusiwa juwa mbishi, labda utael8nisha watu.
Lakini.
Ukiwa mjinga, usiwe mbishi.