Video: Vijana kuweni serious. Kuna huyu Thobias Kahimba alianza kwa kuchoma CD kwa Tsh 100 hadi amekuwa Bilionea. Mnakwama wapi?

Video: Vijana kuweni serious. Kuna huyu Thobias Kahimba alianza kwa kuchoma CD kwa Tsh 100 hadi amekuwa Bilionea. Mnakwama wapi?

So that makes him a liar?
Fikiria hili, juzi TRA imeungua, muda siyo mrefu Kuna watu wataibuka na utajiri mkubwa sana wakikuaminisha walianza kuuza ubuyu visiwani mpaka leo wamekua mabillionea...

Za kuambiwa changanya na za kwako...


Cc: Mahondaw
 
Jamaa kwa sasa pesa kweli anazo ila. Sio kwa stories anazoleta, nawafahamu washkaji kibao mbinga ambao hustle zao kwenye kutafita ni heavy duty kuliko yeye na bado hawajashika mkwanja kama alioshika.
Kwenye kutafuta pesa kuna swala la bahati pia, do not underestimate the mini!!
 
Sasa Mleta Mada kwa Mfano kama kuna sehemua alikwepa Kodi atasema halafu ku Burn CD ni kosa utajiri una mambo Mengi sana mengine huwa hawasemi
 
Huyo anaitwa mdaka five vipi hajasema mbao za magendo , hajasema mafuta ya magendo, hajasema korosho za magendo toka msumbiji, vipi hajasema mafuta ya petrol ya magendo akisema hayo uje unieleze hapa, mueleze mbinga mbinguni ni pazuri
Thobias kahimba na mdaka five ni watu wawili tofauti, japo wote ni wa mbinga.
 
Habari inahakikiwa kwa vyanzo kadhaa.

Habari ya kutoka chanzo kimoja haijahakikiwa bado.

Waswahili wanasema "Muwamba ngoma huvutia kwake".

Kwa mfano.

Mtu kapata utajiri kwa kuuza madawa ya kulevya.

Unategemea mtu aliyeuza madawa ya kulevya akwambie utajiri wake kaupata kwa kuuza madawa ya kulevya?
acha wivu mzee.

huyo jamaa ni bilionea chipukizi watuwengi hatumjui zaidi yawanao mzunguka nakufanya nae kazi

pia kaa ukijua kua wapo mabilionea wakubwa kumzidi huyo mshkaji na huwajui kwasababu umezoea hadi uwaone kwenye vyombo vyahabari😕😕😕tena unataka uthibitishe kwenye vyombo vya habari tofauti tofauti kimoja hutaki🤣🤣🤣 mjinga wewe

wapowatu wana mawe na hawana shobo navyombo vyahabari wewe huwezi kuwajua kwasababu umezoea kuwaona mabilionea kwenye vyombo vyahabari

siku ukiona mabilionea wapya wakihojiwa kidogo kwenye vyombo hivyo kwakua huwafahamu unaanza kutoa mifano yamadawa yakulevya kumbe wenzako ni mahasla kitambo kingi na hawajawahi kuuza hata sigara🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪


JD msindikize kirangakoma na wimbo wa wivuuu mamaa wivu👉sicheki nawowote.

kiranga mwenye wivu anaupamba na kingereza kingi😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Hizi stori sio staki kuzisikia hata kuzielewa sijihangaishagi sjui nilianza na ufundi viatu,ndala, kuuza cd
You are by far better off kutoziamini kuliko kuamini story kama hizi, zitakuumiza sana kichwa na kukutakata mood ya kutafuta pesa. In most cases huwa si za ukweli.
 
😂🤣😂🤣🤣🤣👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
 
Kwahiyo utaanza kuingiza milion 5 ukiwa na mwaka mmoja? Kijana jaribu kutumia akili. Haya tuanzie huo umri uliona nao anza kuweka milio 5 kama utafika hiyo pesa😅
Kwa Umri nilionao Kwa sasa Hivi Nina Miaka 53 nimebakiza Miaka 7 Nistaafu..
Hata Nikiweka Milion Kumi Kw Umri wangu Tayari Maji ya Jioni haya 😀😀
Naweza Nisifikishe hata Milion 70 😀😀
 
Mzunguko wa kutokea CD burning hadi bilioni 4 yawezekana ila walakini ni mwingi.Mafanikio ni njia yenye vikwazo vingi:Alikuwa akifanya peke yake?Jamii inayomzunguka haikupambana dhidi ya mafanikio yake?Serikali haikuwa kwazo katika mafanikio yake?Kwa umri wake si ajabu kuna hadaa fulani na anatumika kama wakala(mafisadi kuficha hela,kubebwa na tajiri mkubwa nk.).
 
Wakuu,

Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.

Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana.

Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya tumbo.

Sasa hivi ni Bilionea mkubwa tu. Ana duka kubwa la hardware na anafanya mambo ya usafirishaji na ameajiri watu wengine 71

Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious

Endelea kuiga kama utatoboa! Hujui siri za biashara wewe! Unafikri alichokisema Azam TV ndiyo kamaliza kila kitu? Kuna vitu vingi sana huwa wanaficha! Kahama kulikuwa na tajiri kama Ndegesela?
 
Endelea kuiga kama utatoboa! Hujui siri za biashara wewe! Unafikri alichokisema Azam TV ndiyo kamaliza kila kitu? Kuna vitu vingi sana huwa wanaficha! Kahama kulikuwa na tajiri kama Ndegesela?
Fanya basi na wewe Kama unaijua siri

Fcuking negative
 
Back
Top Bottom