Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thobias kahimba na mdaka five ni watu wawili tofauti, japo wote ni wa mbinga.Huyo anaitwa mdaka five vipi hajasema mbao za magendo , hajasema mafuta ya magendo, hajasema korosho za magendo toka msumbiji, vipi hajasema mafuta ya petrol ya magendo akisema hayo uje unieleze hapa, mueleze mbinga mbinguni ni pazuri
acha wivu mzee.Habari inahakikiwa kwa vyanzo kadhaa.
Habari ya kutoka chanzo kimoja haijahakikiwa bado.
Waswahili wanasema "Muwamba ngoma huvutia kwake".
Kwa mfano.
Mtu kapata utajiri kwa kuuza madawa ya kulevya.
Unategemea mtu aliyeuza madawa ya kulevya akwambie utajiri wake kaupata kwa kuuza madawa ya kulevya?
masikini takataka wewe.Sasa Mleta Mada kwa Mfano kama kuna sehemua alikwepa Kodi atasema halafu ku Burn CD ni kosa utajiri una mambo Mengi sana mengine huwa hawasemi
You are by far better off kutoziamini kuliko kuamini story kama hizi, zitakuumiza sana kichwa na kukutakata mood ya kutafuta pesa. In most cases huwa si za ukweli.Hizi stori sio staki kuzisikia hata kuzielewa sijihangaishagi sjui nilianza na ufundi viatu,ndala, kuuza cd
Kwa Umri nilionao Kwa sasa Hivi Nina Miaka 53 nimebakiza Miaka 7 Nistaafu..Kwahiyo utaanza kuingiza milion 5 ukiwa na mwaka mmoja? Kijana jaribu kutumia akili. Haya tuanzie huo umri uliona nao anza kuweka milio 5 kama utafika hiyo pesa😅
Endelea kuiga kama utatoboa! Hujui siri za biashara wewe! Unafikri alichokisema Azam TV ndiyo kamaliza kila kitu? Kuna vitu vingi sana huwa wanaficha! Kahama kulikuwa na tajiri kama Ndegesela?Wakuu,
Kuna muda kama vijana inabidi muwe serious na maisha.
Kuna huyu kijana nimemuona huko Azam TV anasema alianza kwa kuchoma CD yaani nyimbo moja alikuwa anaweka kwa Tsh 100 aka-fight sana.
Anasema alikuwa kwa siku alikuwa anatumia 1000 mpaka 1500 tu kuna kipindi mpaka akaumwa vidonda vya tumbo.
Sasa hivi ni Bilionea mkubwa tu. Ana duka kubwa la hardware na anafanya mambo ya usafirishaji na ameajiri watu wengine 71
Sasa vijana mnakwama wapi kuwa kama huyu? Kuweni serious
Attitude y failure hiiAtuambie hizo elf na mia tano zilijaa kwa muda gani mpaka akawa bilionea. Kuna kitu hajatuambia.
Fanya basi na wewe Kama unaijua siriEndelea kuiga kama utatoboa! Hujui siri za biashara wewe! Unafikri alichokisema Azam TV ndiyo kamaliza kila kitu? Kuna vitu vingi sana huwa wanaficha! Kahama kulikuwa na tajiri kama Ndegesela?
Mwehu!Fanya basi na wewe Kama unaijua siri
Fcuking negative
NyambafffMwehu!