VIDEO: Vijana wa JKT wajirekodi na kusema wakikuta mtu akiandamana watamdhuru

"Kila mtu atajiona mjinga na atapambana kivyake". Hii ndo kauli itakayotamalaki.
 
Hawa wananyegeeeee
Miezi mitatu (3 months) tu? Hao ni sifuri kwenye somo na zoezi la Uvumilivu. Je, hao wakiajiriwa na kupostiwa huku vijijini (First appointment) si ndo siku zote kulalamika eti maisha hayawezekani ni magumu sana na blaa-blaa kibao.
 
😂😂😂 wana wenge sana makuruta wa mwaka huu, sijui wamepewa nini huko.
Umenikumbusha mbali, 821 KJ Bulombora 2017 hiyo nikiwa mujibu wa sheria B Coy.

Tuliwakuta kuruta OP Tanzania ya Viwanda walikuwa wameiva.

Nakumbuka kulikuwa na mwamba mmoja ivi Mkurya alikuwa ni mbabe sijawahi ona.

Mwamba alikuwa anaingia kwenye dormitory ya Mademu kwa nguvu.

Alipigika sana na MPs lakini wapi, hadi walimuhamisha hiyo Kambi sijui aliendaga wapi mwamba.

Oya wanangu wa 821 KJ Bulombora mnamkumbuka AFANDE MNAA? Nasikia now ni marehemu, Oya mnamkumbuka afande Msukuma mzee white mwili Jumba.

Oyaa mnamkumbuka Afande Sambufaaa, Oyaaaa balaa kwa Afande Warioba kama sijasahau Jina aliua chatu hadi akachoma nyama yake nakumlaaa.
 
Hatariii sanaa.
 
Vijana wanaomaliza mafunzo JKT (service persons) wamejirekodi kwenye video na kusema wakikutana na mtu anayeandamana wanamtoa kinyesi,
Mbona wao wenyewe wana sura za kirembo hivyo kama Anko T nawatani niwatowe kinyesi😋
 
Shida wamesha vaa karanga hizo wanajiona soldier kweli kweli.

Sasa hawa ngoja wenzao waarijiwe alafu wao watoboe mkataba warudi mtaani uone wanavyolisema jeshi vibaya😃
 
Sema vijana ndio wajinga sio jeshi bwana
 
Kuna nguvu kubwa sana ya programming yaani mtu akishaambiea kitu mara nyingi anakuwa anaakiamini hata kama hakina maana yoyote.

Mfano dini, tunajua fika hatua wahi kumwonea Mungu lakini mtoto mdogo tu a naamini katika kitu ambacho hakina msingi wa uhalisia wowote

Programming is real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…