Video: Vijana wakamatwa kwa uchawi

Nchi hata matatizo ya afya ya akili hatujaweza kuyapatia majina.

Kila kitu tunaita "kichaa".

Wenzetu wana schizophrenia, multiple personality disorder, paranoia, anxiety, bipolar, depression, psychosis, dissociative disorder, ma phobia ya kujaza encyclopaedia.

Nyie mnafikiri haya magonjwa ya wazungu tu? Kwetu hayapo?
 

Kabisa.
 
Hii nchi si haiamin mambo ya kichawi imekuaje tena
 
Kwamba cartoon ni viumbe halisi?
 
Eti Cartoon ni viumbe halisi [emoji1787][emoji1787] watz never disappoint.
 
Kiwango cha ujinga cha huyu bwana bongo dili ni cha hali ya juu sana. I can't fathom how someone on the Great Thinker platform could be so unintelligent. Dumb as a brick.
Naanza kufanyia kazi huu usemi wako, nlidhan unamtukana.

Yani cartoon ni viumbe halisia!? Kweli??
 
Waachiwe manake serikali haiamini uchawi wala ushirikina
 
Kwamba cartoon ni viumbe halisi?
Katika ulimwengu wa roho ikiwa ni tafsiri katika imagination ya ulimwengu halisi.
Thus cartoon zina nguvu ya uharibifu ndani yake ili kutokeleza kizazi kipya chenye mtazamo wautakao wao.
 
Katika ulimwengu wa roho sio wa mwili.
Imagination ni ideas zinatokana kwa Mungu au shetani
Huwezi ku prove uwepo wa roho wala Mungu.

Kwa sababu vyote havipo.

Ukibisha, prove roho ipo, prove Mungu yupo.
 
Nipo Tz nachingwea najificha kwenye fake ID.
NachingweaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Big NOOO! Hakuna Mnachingwea asieelewa kuwa uchawi upo ingawa si wote wanaoushabikia. Sema ukweli mkuu, uko nchi gani? Watu wote wanaoishi Nachingwea wanafahamu kuwa uchawi upo.
 
Kuna degree za uchawi hukohuko ulaya,na nchi iliyozidi katika uchawi ni Romania
Mwaka Juzi Chuo Kikuu kimoja nchini Kenya kilitangaza kutaka kuanza kufundisha kozi ya uchawi chuoni hapo, na baadhibyabwalimu wangetoka Tanzania. Lakini ilikuwa na mashaka kama Serikali itakubali kuwafadhili wanafunzi watakaochukua hiyo shahada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…