John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Ila ni mzuri huyu dada, mwendo wake tu unavutia anavyotembea ni kama warembo, halafu anajiamini sana, bora wamuachie tu maana ana vituko vingi sana visivyo na madhara kwa jamii
🤣🤣huyu wakimpeleka magereza hamalizi mwezi anapewa Unyapara au Askari selo au member of staff
akifungwa kabisa hamalizi mwka anapewa unyapara Mkuu kwa upande wa wanawake maana kwa namna
alivyofetuka akili akiingia jela akaongezea ufyetukaji kidogo akawa KAFYETUKA square,hamna kima yeyote
itamwambia kitu maana ni chizi bin mwehu huyu mungu zumaridi,hapo tu n uraia,Akika jela miaka mi 3 na Mke ataoa huko huko.
🤣🤣Tuacheni masihara mwanamke akisuka mistari kama kichwa ndio kimekaa kama cha zumaridi
anakua kama wale binadamu wa kwanza kina homosapiens (stage 1) yani kichwa yake haina chogo
maskio ni ya kutafuta na tochi (viskio vduchuuu) halafu kwa kumalizia kile kchogo cha kutafuta na tochi kimeangalia kwa juu, weeeeee Wadada vaeni tu ma WIG nimekubaliiiiiiiiiiii na sasa naelewa wengine mko na special Case...
Kuna mdau atakuja na kukuita kerubi!!!!Ila Kuna ambao wamesaidiwa na huyu mama ktk Shida mbalimbali za kiroho hivyo police wasiegemee upande mmoja wa mabaya yake
Note; Hana wasiwasi anajua soon uchawi wa Gamboshi utafanya mauzauza atatoka tuu Wala isiwape Shida
Usikute ni mwanakikosi, nyie mnahangaika tu ohoooSiku chache tangu Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kumkamata Diana Bundala maarufu kwa jina la Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Zumaridi, ameendelea kutrend mitandaoni kutokana na vituko vyake.
Akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza alipofikishwa na wenzake, Machi 2, 2022, alionekana kufanya vituko kadhaa ikiwemo kuwaambia waandishi wa habari kuwa: “Mmemuona Mungu?”
Nukta chache baadaye akaonekana akijibu mwandishi ambaye alimsalimia kwa kumwambia “Mungu hi!” Naye akamjibu: “Hi!” kisha akamchumu mwandishi huyo kwa mbali.
View attachment 2138340
Video: Yuhoma TV