Video: Vituko vya 'Mfalme Zumaridi', amchumu mwandishi Mahakamani

Video: Vituko vya 'Mfalme Zumaridi', amchumu mwandishi Mahakamani

Siku chache tangu Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kumkamata Diana Bundala maarufu kwa jina la Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Zumaridi, ameendelea kutrend mitandaoni kutokana na vituko vyake.

Akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza alipofikishwa na wenzake, Machi 2, 2022, alionekana kufanya vituko kadhaa ikiwemo kuwaambia waandishi wa habari kuwa: “Mmemuona Mungu?”

Nukta chache baadaye akaonekana akijibu mwandishi ambaye alimsalimia kwa kumwambia “Mungu hi!” Naye akamjibu: “Hi!” kisha akamchumu mwandishi huyo kwa mbali.
View attachment 2138340

Video: Yuhoma TV
Hahahahahah dah sema no libaya mno watu walikurupuka na zile make up aisee halafu anaonekana Kama vile loose point fulani 😃😃😃😃
 
Ila ni mzuri huyu dada, mwendo wake tu unavutia anavyotembea ni kama warembo, halafu anajiamini sana, bora wamuachie tu maana ana vituko vingi sana visivyo na madhara kwa jamii
Mmmhh!!! Mkuu uzur uko wap palee? Mbona anatisha sanaqaa..
Sema akiwa kapiga ma make up yake ndio mkali
 
Hahahahahah dah sema no libaya mno watu walikurupuka na zile make up aisee halafu anaonekana Kama vile loose point fulani 😃😃😃😃
Mkuu na mimi ni mmoja wao zile make up sio kitoto nikajua bonge ya kazi...
 
Ndio hivyo ila unaweza kuta ana maisha mazur kuliko ma "JF-Expert Members" wengi tu humu 😂😂
umeshaziona nyumba zake zile? ana nyumba kama villa, anatunza watu 196 na nawalisha huyo dem sijui ela katoa wp, amaa kweli dunia ina mambo
 
umeshaziona nyumba zake zile? ana nyumba kama villa, anatunza watu 196 na nawalisha huyo dem sijui ela katoa wp, amaa kweli dunia ina mambo
Dunia ina mambo san mkuu.Na utajiri ni kitu rahis sana kukipata sema tu nyie mnakomaa na usomi wenu wakati mtaji ambao ni "wajinga na masikini" wamejaa tele.Ukijitoa tu ufaham believe me unapiga pesa ndefu sana tu.Wajinga na masikin ndio wanatajirisha watu
 
Back
Top Bottom