Video: Vituko vya 'Mfalme Zumaridi', amchumu mwandishi Mahakamani

John Haramba

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2022
Posts
365
Reaction score
1,374
Siku chache tangu Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kumkamata Diana Bundala maarufu kwa jina la Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Zumaridi, ameendelea kutrend mitandaoni kutokana na vituko vyake.

Akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza alipofikishwa na wenzake, Machi 2, 2022, alionekana kufanya vituko kadhaa ikiwemo kuwaambia waandishi wa habari kuwa: “Mmemuona Mungu?”

Nukta chache baadaye akaonekana akijibu mwandishi ambaye alimsalimia kwa kumwambia “Mungu hi!” Naye akamjibu: “Hi!” kisha akamchumu mwandishi huyo kwa mbali.

Video: Yuhoma TV
 
huyu wakimpeleka magereza hamalizi mwezi anapewa Unyapara au Askari selo au member of staff

akifungwa kabisa hamalizi mwka anapewa unyapara Mkuu kwa upande wa wanawake maana kwa namna

alivyofetuka akili akiingia jela akaongezea ufyetukaji kidogo akawa KAFYETUKA square,hamna kima yeyote

itamwambia kitu maana ni chizi bin mwehu huyu mungu zumaridi,hapo tu n uraia,Akika jela miaka mi 3 na Mke ataoa huko huko.
 
Tuacheni masihara mwanamke akisuka mistari kama kichwa ndio kimekaa kama cha zumaridi

anakua kama wale binadamu wa kwanza kina homosapiens (stage 1) yani kichwa yake haina chogo

maskio ni ya kutafuta na tochi (viskio vduchuuu) halafu kwa kumalizia kile kchogo cha kutafuta na tochi kimeangalia kwa juu, weeeeee Wadada vaeni tu ma WIG nimekubaliiiiiiiiiiii na sasa naelewa wengine mko na special Case...
 
Hawa wenye vituko wawe wanaachwa tu kama vituko vyao havina madhara kwa jamii, huu mtindo wa kamatakamata na kushitaki mahamani ipo siku polisi watakamata na kushitaki wendawazimu mahakamani halafu polisi wenyewe ndio wataonekana kituko
 
huyu wakimpeleka magereza hamalizi mwezi anapewa Unyapara au Askari selo au member of staff

akifungwa kabisa hamalizi mwka anapewa unyapara Mkuu kwa upande wa wanawake maana kwa namna

alivyofetuka akili akiingia jela akaongezea ufyetukaji kidogo akawa KAFYETUKA square,hamna kima yeyote

itamwambia kitu maana ni chizi bin mwehu huyu mungu zumaridi,hapo tu n uraia,Akika jela miaka mi 3 na Mke ataoa huko huko.
🤣🤣
 
Tuacheni masihara mwanamke akisuka mistari kama kichwa ndio kimekaa kama cha zumaridi

anakua kama wale binadamu wa kwanza kina homosapiens (stage 1) yani kichwa yake haina chogo

maskio ni ya kutafuta na tochi (viskio vduchuuu) halafu kwa kumalizia kile kchogo cha kutafuta na tochi kimeangalia kwa juu, weeeeee Wadada vaeni tu ma WIG nimekubaliiiiiiiiiiii na sasa naelewa wengine mko na special Case...
🤣🤣
 
Ila Kuna ambao wamesaidiwa na huyu mama ktk Shida mbalimbali za kiroho hivyo police wasiegemee upande mmoja wa mabaya yake

Note; Hana wasiwasi anajua soon uchawi wa Gamboshi utafanya mauzauza atatoka tuu Wala isiwape Shida
 
Siku chache tangu Jeshi la Polisi mkoani Mwanza kumkamata Diana Bundala maarufu kwa jina la Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Zumaridi, ameendelea kutrend mitandaoni kutokana na vituko vyake.

Akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza alipofikishwa na wenzake, Machi 2, 2022, alionekana kufanya vituko kadhaa ikiwemo kuwaambia waandishi wa habari kuwa: “Mmemuona Mungu?”

Nukta chache baadaye akaonekana akijibu mwandishi ambaye alimsalimia kwa kumwambia “Mungu hi!” Naye akamjibu: “Hi!” kisha akamchumu mwandishi huyo kwa mbali.
View attachment 2138340

Video: Yuhoma TV
Usikute ni mwanakikosi, nyie mnahangaika tu ohooo
 
Back
Top Bottom