Video: Vituko vya 'Mfalme Zumaridi', amchumu mwandishi Mahakamani


Kwa kesi gani sasa.
 
Haaahaaa mkuu umenifanya nicheke sana yaani kumbe nywele huwa zinaficha sura halisi ya mwanamke, ndio maana mimi huwa napenda sana wadada walio natural na kunyoa staili za kiadventist zile afro.
 
Mimi Naona anaonewa tu Hana shida na mtu kwa Sababu hajamlazimisha mtu kwenda kusaki kanisani kwake.Mbona Kenya Kuna mtu alikua anaitwa Jehova Wanyonyi alikua anajiita Mungu na hakuwai kukamatwa? Kila mtu aamini anachokiamin li na hakuna dini Bora kuliko nyingine.Serikali isiwe inapoteza muda kwa vitu kama hivyo
 
Akili zake kama hazina akili...
Huyo mtu ana akili kubwa Sana kiwazidi watu wengi .Hakuna mtu TAJIRI ambae Hana akili Yan tu Ile kutumia akili yake akawa tajili kama huyu Mama basi tayli ana akili tumpe heshima yake.Huyi mama tayali Hana shida na sio masikini Tena na hapa wanamuongezea umaalufu wa kuendelea kuwa tajili Tena akitoka polisi
 
 
Sijui anayesema huyu mama hana madhara kama anajua undan wa makosa yake kijamii na kisheria! Tuwe tunadadavua mambo. Tunafikiria kwa bei nafuu sana. Na hatujui serkali ni nin hasa na majukum yake.
Huyu mama kashafiris raia kadhaa. Kuna mtoto alkuwa haend shule kisa ni siku za mwisho.
Usajir wa kanisa lake hauko sawa.
Sio mtii wa sheria na mamlaka km mwehu vile.
Anaharib nguvukaz ya taifa.
Sasa itafkia tapeli tumpe heshma kwa kuiba kwa akili nyingi.
Tukio hili serkal ichungulie na kwa wengine.
Kibwetere aliachwa watu wakapigwa kiberit hiv hiv.
Tusisahau hukum ya juzi tu bukoba wazaz kugoma kupeleka watoto shule kwa iman za hivi.
Sote ni watoto wa baba mmoja ...serkali.
Baba linda ustawi wa familia yako!
 
Mwandishi huyo hajui wajibu wake, hatakiwi kulumbana na habari kazi yake ni kuiandika habari kama ilivyo.
 
Wanaachiwa mashekhe wa uamsho waliokuwa wakichoma makanisa anakamatwa huyu.
 
Ila ni mzuri huyu dada, mwendo wake tu unavutia anavyotembea ni kama warembo, halafu anajiamini sana, bora wamuachie tu maana ana vituko vingi sana visivyo na madhara kwa jamii
Anajiamini huyu dada nimependa mno!

Serikali waache uonevu, haya ni mambo ya imani, kama anaenda kinyume na sheria wamuelekeze, wamuonye, sio kumfanyia vurugu au kumfungia, vinginevyo wamfungie na Mwamposa au Kuhani Mussa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…