Video vixen Kidoa yuko tayari kupiga picha za utupu kwa dau Milioni 100

Na huu ni mwanzo tu ndo kwanza tuko mwaka wa pili awamu ya kwanza ya mkulu tuna miaka nane bado tutasikia mengi
Me yangu macho
 
Muulize kwa kipi kipya alichonacho

ambacho hatukijui .....ama ambacho

hatujawahi kukiona ....?
 
Utupu ni wa kwake, inawezekana amekua akiuonyesha kwa jamii ata kabla ya kutoa tamko, kama amekwisha tembea na watu zaidi ya 10 hiyo ni jamii tayari imeona utupu wake, kilichobaki ni kutoa fursa kwa sehemu ya jamii isiyouona huo utupu, apewe hizo 100m jamii ifaidi.
 
Kuna siku nilivyokuwa nafanya kazi Dar katika mishemishe nikafika katika jengobla IPS. Kuna jamaa alikuwa nanofisi yake pale.

Kuna kazi nilikuwa nafuatilia.

Basi katika kusubiri mambo, kukawa na maongezi kati ya tarishi na bosi mwenye biashara.

Maongezi yakafikia habari ya hela gani itakuridhisha ustaafu kazi. Yule tarishi akasema "nikipata milioni 100 natulia". Yule mwenye biashara akawa anashangaa sana, utatosheka vipi na milioni 100? Kwa sababu mwenye biashara alikuwa na gharama kubwa na maisha ya juu, milioni 100 zilikuwa si kitu.

Nikanifunza kahenga walisema ukisema ya nini, wenzio wanasema nitaipata lini.
 
Utakuja kuelewa ikifika 2025 mara paaaap Magu huyu apa

Wanadamu tumejisahaulisha sana kama tunaijua kesho vile hilo la kwanza, la pili usiishi kwa mazoea huenda ndio mwisho wa tz kuish kwa aman ukiacha mvutano walionao huko chaman wakongwe washaanza zengwe mambo yanaenda mrama nimekumegea tu.
 
Millioni 100,
Kwa hadhi gani ya Uchi wake?
 
MBABU KAMA UNA NO. YAKE NI. PM NIMPE DILI LA MAANA HUKO MAJUUU.. SERIOUS......WENGI WAMEFUFAIKA NA HII FURSA..
 
Nini kupiga picha hata acheze film ya xx ni ngumu sana kupata huo mshiko wa 100milion
 
Hii ndo aina ya wanawake tulionao humu jf
Mnakesha mkiwafanyia interview yaani mnawaharibu akili kabisa

Utamsikia anasema anataka mwanaume mwenye malengo foolish arrogant
 
Mtaani vyuma vimekaza haswa yani hakufai asikwambie mtu hawa watoto wananjaa kinoma na watu wanawasakafia kinoma
 
hahahaha hawa ndio walikuwa wana tetewa wapewe deal la gsm hahahaha bora hata hiyo elfu tano kapewa..... hiyo hata kwa 40 elfu picha za uchi ana piga..... naona katangaza biashara...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…