Video: Vurugu zazuka Kinondoni baada ya raia kugoma mwenzao kuchukuliwa na Polisi wakihofia Polisi huyo kuwa mtekaji

Wakuu,

Huko Kinondoni kumetokea zogo na vurugu mtaani baada ya raia kugoma mwenzao kuondoka na mtu aliyejitambulisha kama afisa wa Jeshi La Polisi Ukonga.

Katika video hiyo, mwanaume mmoja alijitambulisha kama Polisi alikuwa akitaka kumchukua kijana mmoja kinyemela.

Wananchi baada ya kuona tukio hilo, walimzingira Polisi huyo na kuanza kumuuliza maswali mbalimbali ikiwemo kwanini hajavaa nguo za kiaskari, kwanini hana gari la Polisi, kama yeye ni Polisi kutoka Ukonga kwanini anakuja Kinondoni kukamata?

Tukio hili linakuja siku chache tangu afisa mmoja wa TRA kupigwa mpaka kufa wakati anajaribu kumkamata raia wa kawaida bila kufuata utaratibu.

Ndio kusema kwamba watanzania wameanza kuamka?

View attachment 3173103

View attachment 3173105
Safi naona ,maiti za " Bongo lala land " zimeanza kufufuka .
Hii nzuri
 
Wananchi baada ya kuona tukio hilo, walimzingira Polisi huyo na kuanza kumuuliza maswali mbalimbali ikiwemo kwanini hajavaa nguo za kiaskari, kwanini hana gari la Polisi, kama yeye ni Polisi kutoka Ukonga kwanini anakuja Kinondoni kukamata

Inabidi wajifunze na kuroga pia wakishalogwa wajifunze😂😂😂😂
 
Mbegu imeota, ni muda wa mavuno sasa.
Hii ndio mujarab kuelezea mwisho wa utekaji uamsho wa raia uko around the corner polisi kuweni makini hii kamatakamata kuna siku mtachezea visu vya mbavu na shingo mitaani watu wameshawachoka jitakaseni mheshimike.
 
Ila majitu ya Dar bhana , takataka kabisa ,no Wonder huu ushenzi umetawala sana Dar tofauti kabisa na mikoani .
Mnaona jitu halijafuata utaratibu na trend iliyopo sasa hivi na bado mnafanya michambo ya taarabu na majadiliano na huyo kima ,ili iweje ?

Huyo fala ilibidi alibidi ale kisago cha kutosha kwanza ,hamna majadiliano na vibaka kama hao wanaofanya abductions za kishenzi hivyo
 
Wakuu,

Huko Kinondoni kumetokea zogo na vurugu mtaani baada ya raia kugoma mwenzao kuondoka na mtu aliyejitambulisha kama afisa wa Jeshi La Polisi Ukonga.

Katika video hiyo, mwanaume mmoja alijitambulisha kama Polisi alikuwa akitaka kumchukua kijana mmoja kinyemela.

Wananchi baada ya kuona tukio hilo, walimzingira Polisi huyo na kuanza kumuuliza maswali mbalimbali ikiwemo kwanini hajavaa nguo za kiaskari, kwanini hana gari la Polisi, kama yeye ni Polisi kutoka Ukonga kwanini anakuja Kinondoni kukamata?

Tukio hili linakuja siku chache tangu afisa mmoja wa TRA kupigwa mpaka kufa wakati anajaribu kumkamata raia wa kawaida bila kufuata utaratibu.

Ndio kusema kwamba watanzania wameanza kuamka?

View attachment 3173103

View attachment 3173105
Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa huu utekaji unaoendelea hautokani na police na usalama wa Taifa. Binafsi nina idadi ya kutosha ya wanangu wa karibu na hata wiki iliyopita tuu lilitokea tukio. Wengine tuliwata kutokea vituo nya polisi na kimoja wapo kimetajwa hapo katika huo mzozo kaada ya kuamriwa tutoe 3m ndo akaachiwa na kesi hakuna.

Wiki iliyopita wamenteka dogo wanamnyanganya pesa na kila alichokuwa nacho wakamtupa barabarani on the way to Dom.

Ila madhara ya wanachokifanya yatasababisa kazi yao iwe ngumu sana. In short ninawachukia sana hawa jamaa kiasi ambacho nikimkuta barabarani akiwa na uniform na akaniomba lift naweza kumwagia na maji machafu kabisa
 
Jurisdiction. Kama mtu umefanya uhalifu ukonga, polisi wa wilaya ya ilala ambako ukonga wanatakiwa wawasiliane na polisi wa mkoa wa kinondo ni ili mtuhumiwa akamatwe. Mimi sio mwanasheria ila ni Kwa uzoefu wangu wa google tu.
 
Mimi sio Mwanasiasa na Wala sio mtu mwenye Jina kubwa ktk hii Nchi Yenye Watu wakuu na Waliomaalumu sana.

Nimetazama Umuhimu wa Raia ktk Hii, Nchi, nimeona Uthamani wa Raia ni mdogo sana.

Kipaumbele cha serikali kwa Raia wake juu ya Ufafanunuzi wa kinachoendelea katika Nchi kwa Miaka kadhaa juu ya swala la utekaji utekaji, Wala halitolewi ufafanuzi.

Na Kila tukio linalotokea juu ya swala utekaji Wanajitambulisha kua wao ni Polisi, Je Jeshi la Polisi Limetoa Ufafanuzi gani wa wao kutoa maelezo juu ya suala la kutekana kuhusishwa na wao polisi.

Katika Nchi yeyote Duniani Kuna kua usalama wa Taifa, Swali najiuliza kama Usalama wa Taifa wao wanalionaje hili swala la kutekana na wao wanalifafanua Vipi au wao wanalitolea malezi Gani kwa Jamii, swala la kutekana.

Je, inamaana Hawa usalama wa Taifa wameshindwa Kujua watekaji, je Hapa Kuna usalama kwa Raia au Ndo usalama upo kwa Wenye mamlaka tu na sio Raia wa kawaida.

kingine cha kujiuliza je kama Watekaji wanaendelea kua na Nguvu ya kufanya Kila Jambo, Vipi siku wakiamua kufanya watakalo kwa Taifa hili, maana yake wao ni Bora, kuliko usalama wa Taifa.

Hii ni kwa Usalama wa Taifa,
Je Kama utekaji unafanyika ktk Nchi na Usalama wa Taifa mpo kimya na Raia sasa wanaanza kubishana na polisi kwa kutokua na Imani wakiofia kua ni watekaji.

Inamaana Dhaihili shahili wananchi Hawana Imani na polisi Moja kwa Moja wanajua ni watekaji, utekaji umezalisha upotevua wa Imani kwa Raia kuliamini Jeshi la Polisi sasa wanaonekana ni watekaji.

Serikali lifanyieni kazi swala la utekaji na muje na majibu kwa wananchi Ili kurudisha Imani ya Raia kwa Jeshi la Polisi, Jeshi la Polisi limepoteza Imani kwa Raia wake.
 
Hao wana KINONDONI HAWAKUTIMIZA WAJIBU WAO KABISA. ILATAKIWA SASA TUONE BARUA KUTOKA TANESCO WAKISIKITIKA KUONDOKEWA NA AFISA WAO KWA KIPIGO LKN HAPOHAPO VETA KIHONDA NAO WAKISIKITIKA KUONDOKEWA NA MWANAFUNZI WAO AMBAYE NI DEREVA WA TANESCO.

Yote kwa yote PONGEZI ZIWAENDEE CCM NA MWENYEKITI WAO KWA MAFANIKIO HAYA.
 
Mimi sio Mwanasiasa na Wala sio mtu mwenye Jina kubwa ktk hii Nchi Yenye Watu wakuu na Waliomaalumu sana.

Nimetazama Umuhimu wa Raia ktk Hii, Nchi, nimeona Uthamani wa Raia ni mdogo sana.

Kipaumbele cha serikali kwa Raia wake juu ya Ufafanunuzi wa kinachoendelea katika Nchi kwa Miaka kadhaa juu ya swala la utekaji utekaji, Wala halitolewi ufafanuzi.

Na Kila tukio linalotokea juu ya swala utekaji Wanajitambulisha kua wao ni Polisi, Je Jeshi la Polisi Limetoa Ufafanuzi gani wa wao kutoa maelezo juu ya suala la kutekana kuhusishwa na wao polisi.

Katika Nchi yeyote Duniani Kuna kua usalama wa Taifa, Swali najiuliza kama Usalama wa Taifa wao wanalionaje hili swala la kutekana na wao wanalifafanua Vipi au wao wanalitolea malezi Gani kwa Jamii, swala la kutekana.

Je, inamaana Hawa usalama wa Taifa wameshindwa Kujua watekaji, je Hapa Kuna usalama kwa Raia au Ndo usalama upo kwa Wenye mamlaka tu na sio Raia wa kawaida.

kingine cha kujiuliza je kama Watekaji wanaendelea kua na Nguvu ya kufanya Kila Jambo, Vipi siku wakiamua kufanya watakalo kwa Taifa hili, maana yake wao ni Bora, kuliko usalama wa Taifa.

Hii ni kwa Usalama wa Taifa,
Je Kama utekaji unafanyika ktk Nchi na Usalama wa Taifa mpo kimya na Raia sasa wanaanza kubishana na polisi kwa kutokua na Imani wakiofia kua ni watekaji.

Inamaana Dhaihili shahili wananchi Hawana Imani na polisi Moja kwa Moja wanajua ni watekaji, utekaji umezalisha upotevua wa Imani kwa Raia kuliamini Jeshi la Polisi sasa wanaonekana ni watekaji.

Serikali lifanyieni kazi swala la utekaji na muje na majibu kwa wananchi Ili kurudisha Imani ya Raia kwa Jeshi la Polisi, Jeshi la Polisi limepoteza Imani kwa Raia wake.
Hakuna usalama wa taifa ndugu bali kuna usalama wa CCM. Policcm,Ticcm na green guard chini ya uvccm.
 
Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa huu utekaji unaoendelea hautokani na police na usalama wa Taifa. Binafsi nina idadi ya kutosha ya wanangu wa karibu na hata wiki iliyopita tuu lilitokea tukio. Wengine tuliwata kutokea vituo nya polisi na kimoja wapo kimetajwa hapo katika huo mzozo kaada ya kuamriwa tutoe 3m ndo akaachiwa na kesi hakuna.

Wiki iliyopita wamenteka dogo wanamnyanganya pesa na kila alichokuwa nacho wakamtupa barabarani on the way to Dom.

Ila madhara ya wanachokifanya yatasababisa kazi yao iwe ngumu sana. In short ninawachukia sana hawa jamaa kiasi ambacho nikimkuta barabarani akiwa na uniform na akaniomba lift naweza kumwagia na maji machafu kabisa
Piga tyres siyo kumumwagia maji.
 
Ccm ikitaka itolewe madarakani ni kwa kuendelea kutumia vibaya Jeshi la Polisi. Maana hizi shida ndogondogo za kila siku zitapelekea wananchi kuwaona askari wa kawaida anaweza akavimbiwa tuu na asifanye chochote, sasa siku yanatokea maandamano polisi wanajikuta hawana nguvu tena
Nkwel kabsaa mkuu,yaani hii hali ya sasa inawagharim polisi.Pole saana kwa polisi waadilifu wasiokubalian kushushwa hadhi yao kama ilivo sasa.
 
Mkui
Sielewi CCM na Serikali strategy yao ni nini? Walitegemea baada ya watu kutekwa hivyo ingekuaje? Huyu jamaa angelazimisha naye angepigwa mawe hadi afe alafu ungesikia mapovu ya RC na IGP!!

Ni vizuri hatua zichukuliwe, kwani hao TISS kazi yao ni nini? Wanashindwaje kukamata hao watekaji wa Soka, Nondo, Sativa na mamia ya watoto wanaotekwa hovyo nchini!! Mbona hizi kelele zingeisha?

Hii nchi inatia sana hasira
Mkuu hao tiss na polisi wako vzur saana sema tatzo ni namna ambavyo utaratibu wao wa kaz unavyo ingiliwa na WATU.
 
Wakuu,

Huko Kinondoni kumetokea zogo na vurugu mtaani baada ya raia kugoma mwenzao kuondoka na mtu aliyejitambulisha kama afisa wa Jeshi La Polisi Ukonga.

Katika video hiyo, mwanaume mmoja alijitambulisha kama Polisi alikuwa akitaka kumchukua kijana mmoja kinyemela.

Wananchi baada ya kuona tukio hilo, walimzingira Polisi huyo na kuanza kumuuliza maswali mbalimbali ikiwemo kwanini hajavaa nguo za kiaskari, kwanini hana gari la Polisi, kama yeye ni Polisi kutoka Ukonga kwanini anakuja Kinondoni kukamata?

Tukio hili linakuja siku chache tangu afisa mmoja wa TRA kupigwa mpaka kufa wakati anajaribu kumkamata raia wa kawaida bila kufuata utaratibu.

Ndio kusema kwamba watanzania wameanza kuamka?

View attachment 3173103

View attachment 3173105
Wanaendaje kukamata bila kushirikisha serikali ya mtaa
 
Nawashauri wananchi jino kwa jino ndio mpango mzima.
 
Back
Top Bottom