Video: Waasi wa Urusi waagiza raia waondoke Belgorod kwa sasa hadi mpambano uishe

Cha ajabu na kustua nyote ninyi dream zenu ni kufika US, UK, France Canada and western countries!! Mwafrika ni mnyama.
 
Unamuona Putin mjinga kujitetea yale mabaki ya mabomu yalipotua Poland , acha tudanganyane tu huku ila usiombe WEST wakuamlie jambo
 
Kwahiyo ww unawajua Russia kuliko hao west waliomfanya auze wese kwa bei pungufu ili aendelee na vita yake ?
 
Hakuna cha waasi hapo, kuna watu mnatamani warusi wapate majanga kama yote...Dua la kuku halimpati mwewe.Watu mnapikapika na kukusanya vitaarifa uchwara tu.Yaani kweli kuwe na waasi heavy duty hata MSM za west zisiongelee...???
 
Wale VDV nilikuwa najua wana mafunzo ya ziada kumbe ni kama regulars ila mbwembwe nyingi kuliko uhalisia. VDV ni airborne forces na ina special force hasa Spetnaz humohumo, walitua vizuri kwa kushtukiza pale Hostomel airport wakaja dhibitiwa baadae na ni kikosi kilichopoteza wanajeshi wengi hapo Ukraine.
Zamani nilikuwa najua angalau wanaelekeana na US 82nd Airborne Division ila hawa Warusi wana performance ndogo. Hata Wachina Airborne Division zao zitakuwa vizuri kuliko Warusi, Warusi kupigana bila artillery unawatesa sasa VDV hawawezi beba artillery kwenye ndege wakafanya airdrop
 
Nikupe hii labda utabadiki fikra zako
 
Kwahiyo ww unawajua Russia kuliko hao west waliomfanya auze wese kwa bei pungufu ili aendelee na vita yake ?
Price ceiling imefail, labda kama unajitoa ufahamu.Hivi hujui kuwa mafuta yanaenda India..wanayachaka then yanarudi Europe.Sio India tu...hadi Saudia, UAE wananunua kwa wingi wese kutoka Urusi then wanauza Ulaya.
 
Cha ajabu na kustua nyote ninyi dream zenu ni kufika US, UK, France Canada and western countries!! Mwafrika ni mnyama.
Halafu wanakuja humu kutukana hovyo. Miafrika ni kama ipo cursed. Toa opportunity ya watu kuchagua kati ya China , Russia na US, utaona mijitu inavyokimbilia nafasi ya kwenda US, halafu hata baada ya kufika US ina login mitandaoni na kuendelea kuitukana US.
Sasa hivi wanasema US kuna ushoga, wanasahao kwenye top ten hao BRICS wao wapo na anayeongoza top ten ni China
 
Akiwa nyuma yao hakika mambo yataenda sawia kabisa. Jamaa hanaga show mbovu huyu.
 
Hii vita itaenda kuwa chungu kwenye ardhi ya russia.
 
Haya ni mawazo yako au Urusi ndiyo imesema?
 
Mmewamaliza wewe na nani?
Wakati huko Belgorod mambo yamoto.

Mara ya kwanza ilipostiwa picha ya gari la kivita na wakasema hivihivi kwamba wameisha ajabu wakarudi tena
Acha kuchukua habari za propaganda wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…