urusi aombewe mema kisa yeye urusi kuivamia ukraine ni sawa ?Hakuna cha waasi hapo, kuna watu mnatamani warusi wapate majanga kama yote...Dua la kuku halimpati mwewe.Watu mnapikapika na kukusanya vitaarifa uchwara tu.Yaani kweli kuwe na waasi heavy duty hata MSM za west zisiongelee...???
Hv umeelewa nlichokiandika ? Hiyo bei anayouzia india ndo ile alikuwa anawauzia hapo awali ? Tuliza akili ww sio mrusi bali ni mswahili so mahaba mengi yatakutoa akiliPrice ceiling imefail, labda kama unajitoa ufahamu.Hivi hujui kuwa mafuta yanaenda India..wanayachaka then yanarudi Europe.Sio India tu...hadi Saudia, UAE wananunua kwa wingi wese kutoka Urusi then wanauza Ulaya.
Hv unajua unazungumzia nn maana nmesoma reply zko nmegundua unabishana ila au debate kwa hojaNako kuna Pride month ?
NdioNako kuna Pride month ?
Anajifanya amechanganyikiwa kama Kanye West originalHv unajua unazungumzia nn maana nmesoma reply zko nmegundua unabishana ila au debate kwa hoja
Slava UkraineHawa wazalendo wamedhamiria kuichukua nchi yao kutoka kwa Putin na wamefanya maandalizi makubwa sana ya kufika Moscow, wasichukuliwe poa.....
Wapo radhi kujitoa mhanga na kufa kwa maelfu hadi taifa lao likombolewe.....
Kabisa,waasi wamefika Moscow na urusi imesambaratikaIla Urusi kaonekana kushindwa, jana kaanza shambulia miji yake ndani ya Urusi
Wafuasi wa putin ni wehu.urusi aombewe mema kisa yeye urusi kuivamia ukraine ni sawa ?
Unamaanisha nini mkuuHv unajua unazungumzia nn maana nmesoma reply zko nmegundua unabishana ila au debate kwa hoja
Hivi vipangaspecial vipo vingapi hapa maana vinanichanganya!Wafuasi wa putin ni wehu.
Mwanangu wafuasi wa Putin sijui huwa wanatoa wapi habari zao, yaani vichwa vyao vimejaa upepooHivi vipangaspecial vipo vingapi hapa maana vinanichanganya!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hahaaa kijana ya chuga hii , mjan imekamata kichwaAnajifanya amechanganyikiwa kama Kanye West original
MisquoteUnamaanisha nini mkuu
Warusi wanasikitisha sana mkuuAnajifanya amechanganyikiwa kama Kanye West original
MatomboHaya ni mawazo yako au Urusi ndiyo imesema?
Na na uchumi wake ukakua vimba upasukeKwahiyo ww unawajua Russia kuliko hao west waliomfanya auze wese kwa bei pungufu ili aendelee na vita yake ?
West zilipendwa, atasumbua wajinga tu ndo walewale wakukimbilia ICCUnamuona Putin mjinga kujitetea yale mabaki ya mabomu yalipotua Poland , acha tudanganyane tu huku ila usiombe WEST wakuamlie jambo