urusi aombewe mema kisa yeye urusi kuivamia ukraine ni sawa ?Hakuna cha waasi hapo, kuna watu mnatamani warusi wapate majanga kama yote...Dua la kuku halimpati mwewe.Watu mnapikapika na kukusanya vitaarifa uchwara tu.Yaani kweli kuwe na waasi heavy duty hata MSM za west zisiongelee...???