Video: Waasi wa Urusi waagiza raia waondoke Belgorod kwa sasa hadi mpambano uishe

Video: Waasi wa Urusi waagiza raia waondoke Belgorod kwa sasa hadi mpambano uishe

Hakuna cha waasi hapo, kuna watu mnatamani warusi wapate majanga kama yote...Dua la kuku halimpati mwewe.Watu mnapikapika na kukusanya vitaarifa uchwara tu.Yaani kweli kuwe na waasi heavy duty hata MSM za west zisiongelee...???
urusi aombewe mema kisa yeye urusi kuivamia ukraine ni sawa ?
 
Price ceiling imefail, labda kama unajitoa ufahamu.Hivi hujui kuwa mafuta yanaenda India..wanayachaka then yanarudi Europe.Sio India tu...hadi Saudia, UAE wananunua kwa wingi wese kutoka Urusi then wanauza Ulaya.
Hv umeelewa nlichokiandika ? Hiyo bei anayouzia india ndo ile alikuwa anawauzia hapo awali ? Tuliza akili ww sio mrusi bali ni mswahili so mahaba mengi yatakutoa akili
 
Hawa wazalendo wamedhamiria kuichukua nchi yao kutoka kwa Putin na wamefanya maandalizi makubwa sana ya kufika Moscow, wasichukuliwe poa.....
Wapo radhi kujitoa mhanga na kufa kwa maelfu hadi taifa lao likombolewe.....


Slava Ukraine
 
Unamuona Putin mjinga kujitetea yale mabaki ya mabomu yalipotua Poland , acha tudanganyane tu huku ila usiombe WEST wakuamlie jambo
West zilipendwa, atasumbua wajinga tu ndo walewale wakukimbilia ICC
 
Back
Top Bottom