Uchaguzi 2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

Tusidanganyane, ukabila uko popote hata Marekani, kinachotofautiana ni viwango tu. Angalia hii awamu ilivyojaa ukabila.

Kuwasema wakenya saana ni kuwaonea tu na ni unafiki tu.
Kenya hakuna kumbambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani wala kuwaonea wafanyabiashara wakubwa hakuna usumbufu kwa watumishi wa umma kukosa nyongeza za mishahara kwa mda wa miaka mitano
 
Katiba ipi? Katiba mbovu au katiba ile ile inayolalamikiwa? Mbona Tume za mwinyi mkapa Kikwete hazikuwahi lalamikiwa kama hiyo Tumeccm ya mtukufu magufuli?
Unauhakika tume hizo zilizopita hazikuwai kulalamikiwa bwashee?
 
Tusidanganyane, ukabila uko popote hata Marekani, kinachotofautiana ni viwango tu. Angalia hii awamu ilivyojaa ukabila.

Kuwasema wakenya saana ni kuwaonea tu na ni unafiki tu.
Tanzania atuna ukabila hatachembe mkuu.
 
Tumeshatoka kwenye corona wao bado wameikumbatia

Ukabila tumeutokomeza wao wanaung'ang'ania.

Ni mjinga pekee anayeweza kuwaunga mkono wakenya.
 
Umeambiwa hivi " Je ni sawa kwa mgombea kuiteua tume itakayosimamia uchaguzi ambao naye anashiriki?

Hayo masuala ya wakenya kuuwana tutayaongea baadaye kwenye bandiko husika. Kwa sasa unatakiwa kujibu swali hilo hapo juu.
 
Bwashee kwani kudai tume huru ni mpaka maandamano,akuna njia nyingine?
Njia ya haraka ni kumfikisha IGP na mkurugenziccm wa Tumeccm kwenye mahakama ya ICC The Hague haraka kwa kutengeneza viashiria vya uvunjifu wa Amani hapo Duniani kote watapiga kelele Tumeccm haramu itavunjwa na kuundwa Tume huru isiyo ya kishetani kama sasa
 
Hawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.

Unapoleta habari kama hii toka Kenya, naelewa tu kwamba uelewa wako ni mdogo. Yaani Kenya itufundishe nini? Umesema ni wachambuzi, wewe unasemaje? Tunatafuta uelewa siyo copy-paste ya yanayotokea Kenya ambayo ni foolishness. Tunaoifahamu Tume ya uchaguzi ya Kenya ni lini imekuwa impatial? Tume yao haiko huru hata siku moja na ndo maana kamishna Chris Msando aliuwawa, Makamishna wakajiuzuru. Mwanzoni upinzani uliandamana kutaka wajiuzuru ikashindikana hadi watu kuuwawa!

Tafadhari lete vitu vyenye mantini. Hii ni TZ haiko hapa kukopi mambo ya kenya ambayo ni majivuno ya kijinga tu! Wao wanatamani wawe kama wazungu hata kwenye magonjwa kama corona, wakati wako hapa Afrika. Kwa nini wameshindwa kuiga mambo yetu hadi leo au nawe unaamini Corona inatuua sana? Stop these nonsense!
 
CCM ni adui mkubwa wa maendeleo ya watu Tanzania
Nchi ina miaka zaidi ya 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, mda huu kwa siyo CCM Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko kuliko America Oman German UK China India Canada na mataifa yote tajiri Duniani na pengine ingekuwa na kura ya veto, badala CCM walete maendeleo wanachukua pesa zote wanazitumia kudidimiza demokrasia kudhoofisha chadema kuua upinzani wakitaka kurejesha mfumo wa chama kimoja, pesa inayotumika kwenye mambo yasiyo na tija kwa Taifa ni nyingi kuliko maendeleo.
 
Hakuna mwenye sifa ya kwenda The Haugue kwa hao uliowataja.
Nkuruvinza,Kagame,Museven na J.Kabila wameuwa mamai ya raia na ulimwengu unajua,lakini huko ze hegi ndipo wanaenda kununua suti zao na wanakaribishwa kwa heshma zote na wanalindwa ulinzi kama wote kisha wanarudi kwenye nchi zao.
 
Uchaguzi wa Kenya ulifanyika 2018. Mwaka 2017 kamishna kwenye tume hiyo, Chris Msando akauwawa, makamishna wakajiuzuru tena mmoja alitoroka na kutokomea akiwa Dubai kwenye uchapishaji wa ballot papers. Matokea yalipotoka, kasoro kibao hadi mahakama kuingilia kati. Baadhi ya watu hapa wakasifia mahakama na kusahau kwamba Uhuru alimtukana jaji mkuu kwa uamuzi wake. Tena ni jaji mkuu tu siyo mwenye msimamo huo, wao wakaanza kuhesabu makabila ya jopo la majaji walioamua hivyo. Kweli unaweza ukasifia kitu hapo. They are just hopeless than you'r. Kwa nini usifie tu bila 'thinking?' Elimu zetu hazitusaidii kubadili akili.
 
Mabeberu hawa watuachie nchi yetu! Wenyewe tumeshazoea shida!
 
Kuna Wa.pu.mba.vu fulani hapa jamii forum wanawaona Wasukuma kama siyo kabila la Tanzania!! Akili yao muda wote ni kuwasema vibaya Wasukuma hili halikubaliki hata kidogo!!!


Huko nyuma walipenda sana kuwasema vibaya Wasukuma kuwa hawajitambui hawajasoma na hawapendani, Wasukuma wa watu walisikiliza kila aina ya masimango na kuyameza huku wakijitahidi kusoma kwa nguvu zote ili waondokane na hayo manyanyaso na matukano ya kila aina, Leo hii wasomi wamekuwa wengi kila utakapokwenda utawakuta Taasisi zote wapo ukienda Vyuoni si rahisi kumkosa Kijana wa Kisukuma katika kozi yoyote ile hususani za Sayansi na Uhandisi!

Cha ajabu sasa watu walewale waliokuwa wakiwacheka na kuwatukana Wasukuma wamegeuka na kuanza kuimba ukabila hili kwa kwakweli halikubaliki, si vibaya kuwapa sifa Wasukuma kwa kupigana kwa nguvu zote kuondokana na hali ya kutukanwa na kusimangwa kuliko kuwapo ati hawana elimu.

Kuna Taasisi nyingi tu hapa Tanzania zimejaa kabila fulani fulani lakini lawama wanapewa Wasukuma
 
Tundu Lissu na mzungu Amsterdam atakuwemo kwenye orodha hiyo...wale wauaji wa Njombe na Tunduma nao watakuwemo pamoja na yule mkata mapanga wa Pemba...halafu wale wa mitandaoni wanaohamasisha vurugu nao watakuwemo kwani comments zao zinasomwa na ID kuhifadhiwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…