minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Kenya hakuna kumbambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani wala kuwaonea wafanyabiashara wakubwa hakuna usumbufu kwa watumishi wa umma kukosa nyongeza za mishahara kwa mda wa miaka mitanoTusidanganyane, ukabila uko popote hata Marekani, kinachotofautiana ni viwango tu. Angalia hii awamu ilivyojaa ukabila.
Kuwasema wakenya saana ni kuwaonea tu na ni unafiki tu.