NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Ni nafuu na sisi Tanzania wenyechangamoto ndogo ya tume huru kuliko Kenya wenye siasa za ukabila.Acha maneno mengi, alichokisema huyo jamaa ni sahihi au sio sahihi? Shame
Nasema kukosa tumehuru kwa Tanzania ni changamoto ndogo kwa sababu hata wenye kudai tume huru hawaonyeshi nia yadhati kuitaja.ndo maana wanakubali kushiriki uchaguzi bila tume huru.haya ni madhaifu ya vyama pinzani kwenye kutia maznani tume huru.