Video: Wachina wana mpango gani na nchi yetu? Kuna hii store Mikocheni wanauza kila kitu 3,000. What's going on?

Wachina washenzi,
Hapo itakuwa hiyo mizigo yote hawajalipa hata kumi ya ushuru!, wachina ni viumbe hatari.
 
Kuna mahali niliona 1 dollar store.

Yaani kila kitu dola moja.

Utandawazi hatari sana wakuu.
 
Ni mbinu ya kuondoa stock ya zamani
 
faida ipo kwenye rotation ya chapchap na wabongo tunapenda vitu cheap apo wametukamata
 
Hiyo ni style ya Marekani inaitwa Dolllama,kwahiyo kuwa mpole
 
Mm na familia yangu pamoja na ukoo wangu wooote hii ndio inatufaa kuliko bei za mawinga, madalali na wapigaji wengine uko kkoo.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Mikocheni kubwa.
Wako Mikocheni wapi hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…