Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Nasubiria wenye ujuzi wa Sheria waje....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya IGA yamemshinda anatafuta kiki kwengine?NB: JF Moderators, naomba hii thread ijitegemee. Najua imeshajadiliwa lakini naona huyu wakili kaja kivingine. Tuwape watu nafasi wajadili hoja yake..
Back to the topic;
✍️Ni kweli Hayati Mwl Julius K. Nyerere aliwahi kuunda ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na kumteua Dr Salim A. Salimu kushika wadhifa huo kikatiba PM akiwa Jaji Joseph Sinde Warioba...
✍️Vivyo hivyo Rais ally Hassan Mwinyi aliwahi kufanya kosa la namna hii na nafasi hiyo kushikwa na Hayati Augustine L. Mrema wakati kikatiba PM akiwa John Malecela..
✍️Sasa Rais Samia Suluhu Hassan naye kafanya makosa hayahaya.
Je, makosa ya mwingine yanaweza kuhalalisha jambo?
✍️Msikilize Wakili Msomi Boniface Mwambukusi akitolea ufafanuzi wa kisheria na kikatiba wa makosa haya..👇👇👇👇
View attachment 2735582
Aliyoyasema kwa ufupi (quotes):
".....Ni kweli Rais kikatiba ana mamlaka na haki (right) ya ku - constitute na ku - abolish any office at anytime. Lakini haki na wajibu huu hau - extend kwenye office ambazo zimeanzishwa na katiba....."
".....Kwa mfano; ofisi ya PM, DPP, AG, Bunge au CAG ni ofisi za umma zilizoundwa na kuwekewa utaratibu na masharti maalumu kikatiba kuanzia katika uteuzi, utendaji na uwajibikaji wa watu wanaoteuliwa na kushika ofisi hizi..."
"....Mfano, Waziri Mkuu anapoteuliwa ni lazima athibitishwe na wananchi kupitia Bunge lao. Kwa maana hiyo, ni makosa na kwa kweli haiwezekani Rais atafute mtu mwingine kwa mlango wa nyuma (au wa uani) na amkasimishe majukumu ya kikatiba ya Waziri Mkuu. Hizo zitakuwa vurugu na ni kukiuka katiba.."
Ndugu Petro E. Mselewa, Pascal Mayalla JokaKuu denooJ Mag3 na wengine mna maoni yoyote?
Mwabukusi ni mwanasheria kanjanja tu, ambaye anatumia nguvu nyingi kujenga hoja. Angekuwa amefuta cheo cha PM au kuweka PM wawe 2 ingekuwa ni makosa.NB: JF Moderators, naomba hii thread ijitegemee. Najua imeshajadiliwa lakini naona huyu wakili kaja kivingine. Tuwape watu nafasi wajadili hoja yake..
Back to the topic;
✍️Ni kweli Hayati Mwl Julius K. Nyerere aliwahi kuunda ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na kumteua Dr Salim A. Salimu kushika wadhifa huo kikatiba PM akiwa Jaji Joseph Sinde Warioba...
✍️Vivyo hivyo Rais ally Hassan Mwinyi aliwahi kufanya kosa la namna hii na nafasi hiyo kushikwa na Hayati Augustine L. Mrema wakati kikatiba PM akiwa John Malecela..
✍️Sasa Rais Samia Suluhu Hassan naye kafanya makosa hayahaya.
Je, makosa ya mwingine yanaweza kuhalalisha jambo?
✍️Msikilize Wakili Msomi Boniface Mwambukusi akitolea ufafanuzi wa kisheria na kikatiba wa makosa haya..👇👇👇👇
View attachment 2735582
Aliyoyasema kwa ufupi (quotes):
".....Ni kweli Rais kikatiba ana mamlaka na haki (right) ya ku - constitute na ku - abolish any office at anytime. Lakini haki na wajibu huu hau - extend kwenye office ambazo zimeanzishwa na katiba....."
".....Kwa mfano; ofisi ya PM, DPP, AG, Bunge au CAG ni ofisi za umma zilizoundwa na kuwekewa utaratibu na masharti maalumu kikatiba kuanzia katika uteuzi, utendaji na uwajibikaji wa watu wanaoteuliwa na kushika ofisi hizi..."
"....Mfano, Waziri Mkuu anapoteuliwa ni lazima athibitishwe na wananchi kupitia Bunge lao. Kwa maana hiyo, ni makosa na kwa kweli haiwezekani Rais atafute mtu mwingine kwa mlango wa nyuma (au wa uani) na amkasimishe majukumu ya kikatiba ya Waziri Mkuu. Hizo zitakuwa vurugu na ni kukiuka katiba.."
Ndugu Petro E. Mselewa, Pascal Mayalla JokaKuu denooJ Mag3 na wengine mna maoni yoyote?
Huyu kashindwa Mahakamani Hadi Sasa hajakata Rufaa.NB: JF Moderators, naomba hii thread ijitegemee. Najua imeshajadiliwa lakini naona huyu wakili kaja kivingine. Tuwape watu nafasi wajadili hoja yake..
Back to the topic;
✍️Ni kweli Hayati Mwl Julius K. Nyerere aliwahi kuunda ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na kumteua Dr Salim A. Salimu kushika wadhifa huo kikatiba PM akiwa Jaji Joseph Sinde Warioba...
✍️Vivyo hivyo Rais ally Hassan Mwinyi aliwahi kufanya kosa la namna hii na nafasi hiyo kushikwa na Hayati Augustine L. Mrema wakati kikatiba PM akiwa John Malecela..
✍️Sasa Rais Samia Suluhu Hassan naye kafanya makosa hayahaya.
Je, makosa ya mwingine yanaweza kuhalalisha jambo?
✍️Msikilize Wakili Msomi Boniface Mwambukusi akitolea ufafanuzi wa kisheria na kikatiba wa makosa haya..👇👇👇👇
View attachment 2735582
Aliyoyasema kwa ufupi (quotes):
".....Ni kweli Rais kikatiba ana mamlaka na haki (right) ya ku - constitute na ku - abolish any office at anytime. Lakini haki na wajibu huu hau - extend kwenye office ambazo zimeanzishwa na katiba....."
".....Kwa mfano; ofisi ya PM, DPP, AG, Bunge au CAG ni ofisi za umma zilizoundwa na kuwekewa utaratibu na masharti maalumu kikatiba kuanzia katika uteuzi, utendaji na uwajibikaji wa watu wanaoteuliwa na kushika ofisi hizi..."
"....Mfano, Waziri Mkuu anapoteuliwa ni lazima athibitishwe na wananchi kupitia Bunge lao. Kwa maana hiyo, ni makosa na kwa kweli haiwezekani Rais atafute mtu mwingine kwa mlango wa nyuma (au wa uani) na amkasimishe majukumu ya kikatiba ya Waziri Mkuu. Hizo zitakuwa vurugu na ni kukiuka katiba.."
Ndugu Petro E. Mselewa, Pascal Mayalla JokaKuu denooJ Mag3 na wengine mna maoni yoyote?
Shut up, mhaini kwanini mkampa dhamana?!Huyu kashindwa Mahakamani Hadi Sasa hajakata Rufaa.
Alikuwa anapotosha kwamba Bandari zote kapewa DP World na TPA hairuhusiwi kutoa Tenda kwingine,Tenda imetangazwa badala aombe yupo yupo anatafuta kiki za kijinga.
Sifa zitakuja kumpoteza.
Anaweza kuteuliwa lakini Anatakiwa jina lipelekwe Bungeni wakalipigie kuraRais anaruhusiwa kuunda na kuvunja wizara na mawaziri wake, kwanini ashindwe kuteua naibu PM?
Kitu cha msingi hapa hicho cheo ni Sawa na ceremonial title, Kwa sababu , hata kuwa Hana hayo Mamlaka Waziri Mkuu. Kwa hiyo sio Jambo la kuliongelea Sana.NB: JF Moderators, naomba hii thread ijitegemee. Najua imeshajadiliwa lakini naona huyu wakili kaja kivingine. Tuwape watu nafasi wajadili hoja yake..
Back to the topic;
✍️Ni kweli Hayati Mwl Julius K. Nyerere aliwahi kuunda ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na kumteua Dr Salim A. Salimu kushika wadhifa huo kikatiba PM akiwa Jaji Joseph Sinde Warioba...
✍️Vivyo hivyo Rais ally Hassan Mwinyi aliwahi kufanya kosa la namna hii na nafasi hiyo kushikwa na Hayati Augustine L. Mrema wakati kikatiba PM akiwa John Malecela..
✍️Sasa Rais Samia Suluhu Hassan naye kafanya makosa hayahaya.
Je, makosa ya mwingine yanaweza kuhalalisha jambo?
✍️Msikilize Wakili Msomi Boniface Mwambukusi akitolea ufafanuzi wa kisheria na kikatiba wa makosa haya..👇👇👇👇
View attachment 2735582
Aliyoyasema kwa ufupi (quotes):
".....Ni kweli Rais kikatiba ana mamlaka na haki (right) ya ku - constitute na ku - abolish any office at anytime. Lakini haki na wajibu huu hau - extend kwenye office ambazo zimeanzishwa na katiba....."
".....Kwa mfano; ofisi ya PM, DPP, AG, Bunge au CAG ni ofisi za umma zilizoundwa na kuwekewa utaratibu na masharti maalumu kikatiba kuanzia katika uteuzi, utendaji na uwajibikaji wa watu wanaoteuliwa na kushika ofisi hizi..."
"....Mfano, Waziri Mkuu anapoteuliwa ni lazima athibitishwe na wananchi kupitia Bunge lao. Kwa maana hiyo, ni makosa na kwa kweli haiwezekani Rais atafute mtu mwingine kwa mlango wa nyuma (au wa uani) na amkasimishe majukumu ya kikatiba ya Waziri Mkuu. Hizo zitakuwa vurugu na ni kukiuka katiba.."
Ndugu Petro E. Mselewa, Pascal Mayalla JokaKuu denooJ Mag3 na wengine mna maoni yoyote?
Point yako nambari wani ni batili Kwani moja ni Waziri Mkuu na mwingine ni naibu Waziri Mkuu, Kwa hiyo sio Kwa Jina lile na sio Kwa cheo kile kile moja ni Makubwa Kwa mwenzake na cheo chake kipo gazettedSawa, lakini mimi bado naendelea kukubaliana na mwanasheria mwenzako huyu based on the fact kwamba;
1. Ofisi zilizoanzishwa kikatiba zinapaswa kuwa intact vilevile. Haipaswi Rais kuitumia ibara ya 36 kimakosa kwa kuingiza mtu mwingine kwa mlango wa nyuma Kwa nafasi ileile na Kwa jina la cheo kilekile. Hizi ni vurugu..!
2. Kama Rais ameona kuwa PM anahitaji mtu wa kumsaidia, na aitwe "Naibu Waziri Mkuu", apeleke amendment ya katiba..
3. La anaona shida, na ameona ktk serikali yake kuna mambo yanahitaji kuundiwa wizara, hilo liko ndani ya mamlaka yake kikatiba kuanzisha wizara na kumteua waziri ashughulikie hayo LAKINI SIO KUM - SABOTAGE PM ambaye yupo pale kikatiba...!!
Nakubaliana na Boniface Mwambukusi..
Vipi kuhusu bajeti ya Ofisi hii mpya kuwa hazikupitishwa na bunge?Kuanzishwa kwa Ofisi hiyo hakumaanishi kuivunja, kuivuruga, kuiingilia au kuibadili Ofisi ya Waziri Mkuu. Ni Ofisi mpya inayojitegemea iliyoanzishwa kwa mujibu wa Katiba (Ibara ya 36(1)).
Sikubaliani na point #2. Ukifanya ammendment ya kisheria itabidi iwe ya kudumu. Kwa hiyo hata akija Rais mwingine itabidi amuweke Naibu WM.2. Kama Rais ameona kuwa PM anahitaji mtu wa kumsaidia, na aitwe "Naibu Waziri Mkuu", apeleke amendment ya katiba..
Anaweza kuteuliwa lakini Anatakiwa jina lipelekwe Bungeni wakalipigie kura
Mwabukusi amevurugwaNB: JF Moderators, naomba hii thread ijitegemee. Najua imeshajadiliwa lakini naona huyu wakili kaja kivingine. Tuwape watu nafasi wajadili hoja yake..
Back to the topic;
✍️Ni kweli Hayati Mwl Julius K. Nyerere aliwahi kuunda ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na kumteua Dr Salim A. Salimu kushika wadhifa huo kikatiba PM akiwa Jaji Joseph Sinde Warioba...
✍️Vivyo hivyo Rais ally Hassan Mwinyi aliwahi kufanya kosa la namna hii na nafasi hiyo kushikwa na Hayati Augustine L. Mrema wakati kikatiba PM akiwa John Malecela..
✍️Sasa Rais Samia Suluhu Hassan naye kafanya makosa hayahaya.
Je, makosa ya mwingine yanaweza kuhalalisha jambo?
✍️Msikilize Wakili Msomi Boniface Mwambukusi akitolea ufafanuzi wa kisheria na kikatiba wa makosa haya..👇👇👇👇
View attachment 2735582
Aliyoyasema kwa ufupi (quotes):
".....Ni kweli Rais kikatiba ana mamlaka na haki (right) ya ku - constitute na ku - abolish any office at anytime. Lakini haki na wajibu huu hau - extend kwenye office ambazo zimeanzishwa na katiba....."
".....Kwa mfano; ofisi ya PM, DPP, AG, Bunge au CAG ni ofisi za umma zilizoundwa na kuwekewa utaratibu na masharti maalumu kikatiba kuanzia katika uteuzi, utendaji na uwajibikaji wa watu wanaoteuliwa na kushika ofisi hizi..."
"....Mfano, Waziri Mkuu anapoteuliwa ni lazima athibitishwe na wananchi kupitia Bunge lao. Kwa maana hiyo, ni makosa na kwa kweli haiwezekani Rais atafute mtu mwingine kwa mlango wa nyuma (au wa uani) na amkasimishe majukumu ya kikatiba ya Waziri Mkuu. Hizo zitakuwa vurugu na ni kukiuka katiba.."
Ndugu Petro E. Mselewa, Pascal Mayalla JokaKuu denooJ Mag3 na wengine mna maoni yoyote?
Sikubaliani na point #2. Ukifanya ammendment ya kisheria itabidi iwe ya kudumu. Kwa hiyo hata akija Rais mwingine itabidi amuweke Naibu WM.
Hawa manaibu wanawekwa kukidhi mambo fulani tu. Kwa mfano Salim Ahmed Salim alipewa unaibu mwaka 1985 ili kumtunzia hadhi kwa kuwa alikuwa na profile kubwa baada ya kuwa mtarajiwa wa Urais wa Tanzania Nyerere alipokuwa anatoka.
Mrema alipewa kama shukrani tu kwa namna alivyo kuwa anashughukikia masuala ya ufisadi wa akina Chavda, wizi wa dhahabu etc.
Mwabukusi ni boksi tupu halina kitu zaidi ya kelele na kufoka. Msimpe umaarufu asiokuwa nao
Mawaziri hawathibitishwi na Bunge ilhali PM anathibitishwa na Bunge. Hiyo ndiyo tofauti.Rais anaruhusiwa kuunda na kuvunja wizara na mawaziri wake, kwanini ashindwe kuteua naibu PM?
Amewahi kuwa waziri wa sheria na mwanasheria mkuu wa serikali kwa wakati mmoja awamu ya Nyerere.Jaji Warioba hakuwahi kuwa waziri wala PM wakati wa Mwl. Nyerere.
I subscribe your position Msomi, kuna mahali Seniour Mwambukusi amejichanganya sitaki kabisa kuamini kuwa hafahamu hii tafsiri.Mkuu Uzima Tele I beg to differ with my learned senior Counsel. Naendelea na msimamo na maoni yangu kuwa Mhe. Rais yuko sahihi kikatiba kuanzisha na kumteua wa kushika Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu.
Nimeitaja ( na hata Wakili Mwabukusi ameitaja) ibara ya 36 (1). Inatoa mamlaka kwa Rais kuanzisha nafasi/ofisi za kimadaraka.
Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu haipo/haikutajwa kwenye Katiba. Jana ndiyo imeanzishwa. Majukumu yake yataainishwa kwenye Hati ya Kuanzishwa kwake.
Kuanzishwa kwa Ofisi hiyo hakumaanishi kuivunja, kuivuruga, kuiingilia au kuibadili Ofisi ya Waziri Mkuu. Ni Ofisi mpya inayojitegemea iliyoanzishwa kwa mujibu wa Katiba (Ibara ya 36(1)).
Mawaziri hawathibitishwi na Bunge ilhali PM anathibitishwa na Bunge. Hiyo ndiyo tofauti.
Sasa shida ni kwamba kazi anazofanya PM ndo zilifanya kikatiba awe na Sifa ya kupelekwa Bungeni jina lake...Kama na huyu DPM atafanya kzi kama za PM kwanini kusiwe na haja ya kupeleka bungeni piaHuyo ni PM sio naibu wake.
Haya sasa n huyu Wa Sasa hivi kapewa kwa sababu gani unawez kuniambia 🤔🤔🤔🤔 maana mmmh DoubtfullSikubaliani na point #2. Ukifanya ammendment ya kisheria itabidi iwe ya kudumu. Kwa hiyo hata akija Rais mwingine itabidi amuweke Naibu WM.
Hawa manaibu wanawekwa kukidhi mambo fulani tu. Kwa mfano Salim Ahmed Salim alipewa unaibu mwaka 1985 ili kumtunzia hadhi kwa kuwa alikuwa na profile kubwa baada ya kuwa mtarajiwa wa Urais wa Tanzania Nyerere alipokuwa anatoka.
Mrema alipewa kama shukrani tu kwa namna alivyo kuwa anashughukikia masuala ya ufisadi wa akina Chavda, wizi wa dhahabu etc.
Mwabukusi ni boksi tupu halina kitu zaidi ya kelele na kufoka. Msimpe umaarufu asiokuwa nao
Kumbukumbu zangu zinaniambia alikua Mwanasheria Mkuu wa Serikali.Amewahi kuwa waziri wa sheria na mwanasheria mkuu wa serikali kwa wakati mmoja awamu ya Nyerere.