Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
msingi unaanzia kwenye staha....Angalia mambo ya msingi hayo mengine yapuuze ndio akili za uongozi.
Sasa unakuta wanacha mambo ya msingi wanachukua ya hovyo yaliyosemwa😀😀😀
ukiwa huna lugha ya staha, hatuwez kuskiza hoja yako, kwanza tunacheki kama uko timamu
