Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Watu waliingizwa mjini kwenye siasa za hadaa sijui 4Rs, wakawa wanapotezwa maboya wafanye siasa za kistaarabu na maoni yao yatafanyiwa kazi. Na kweli mabwege wakajaa mara sijui kikosi kazi, vikao vya maridhiano, kumbe wenzao wanawadanganya Ili wapate political mileage kuwa ni wastaarabu.ng"an"ana na ghadhabu na mihemko yako, hata uwe na jambo zuri namna gani, ukilosea kwenye lugha tu, unahamisha mjadala kwenye kuchunguza uadilifu na malezi yako...
na by the way,
utadeal nalo wewe na huyo mwenye mihemko mwenzie kwasababu ndivyo mlovyolelewa, watulivu na wastaarabu na wenye maadili tunandelea kuchapa kazi kadiri invyowezekana ili wanainchi wapate maendeleo![]()
Umefika wakati wa kudhibitisha huo wa utapeli wa 4Rs, wamejikuta vinaletwa vitu tofauti na mapendekezo ya wengi. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi tu ndio yataondoa hili genge la majizi na matapeli ya ccm

