Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupenda sifa mpk kutengeneza machawa haimo kwenye ilani.mnaopambania kumvisha mtu mmoja lawama kana kwamba alitunga ilani yake mwenyewe
Kwa taarifa yako hizo lugha Kali na mnazoita sio za staha ndio zinaeleweka vizuri na Hawa viongozi majizi, kuliko lugha za staha. Viongozi wezi hawajawahi kuheshimu mawazo ama maoni yanayoletwa kwa lugha za staha. Mara nyingi machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio huleta akili kwa viongozi wezi na sio lugha za staha. Inaonekana ww unadhani nchi ni Mali ya viongozi, hivyo wanapaswa kaumbiwa kwa kubembelezwa ama kujinyenyekeza kwao.sasa hapo nikufundishe staha na ustaarabu au niignore tu vile vile...
uaelewa unaweza kua na maoni, mtazamo, hoja au ushauri wa maana na muhimu sana ila language unayotumia kupresent unachokusudia kikapoteza maana na umuhimu kabisa...
na kikawa ni useless
uungwana wa lugha na staha katika kuelezea umuhimu wa jambo fulani, kwanza unavutia hata kuskiza, lakini pia kuzingatiwa na kuungwa mkono na kutiliwa maanani na wastaarabu kunakua kwa kiwango cha kuridhisha.![]()
Huyu mwalimu katokea wapi huku jf??Mwabukusi alinunuliwa na wapingaji wa mkataba wa Bandari wale akina Karamagi kwa Tsh 400 Millioni.
Bahati mbaya ameshindwa kuzuia mkataba na wapambe wake akina Dr Slaa na Mdude_Nyagali . Sasa anatafuta kuwa relevant tena. Huyo ni mlevi mbwa tu mpuuzeni
Mkuu sijasema wamuue...... Ulimboka & lisu wapo hai....ila Ben saa tisa ndio amepotea!!!Nimeiquote hii kama ushahidi ndugu.
Unawaagiza wamuue kwa sababu gani?
Kwani hao wanaopuuza katiba hii wanataka hata hiyo mpya Hadi useme wataiheshimu? Kimsingi katiba mpya itapatikana kwa machafuko ama mapinduzi ya kijeshi, hiyo kwa vyovyote itaweka misingi ya kuheshimiwa.Kama Katiba haiheshimiwi toka wakati wa Kikwete, Magufuli na sasa hivi...Nani aliewaambia wapinzani Katiba mpya ndo suluhu na itaheshimiwa??
Alitokea ACT?
Alitolea CCM lkn haikumtuma
Dhalimu magu ndio alisimika hii tabia ya kuabudiwa. Huyu mama naye anapita mulemule kwenye siasa za kick na kulazimisha kuonekana anakubalika.mama ndio mwanzisha mwendo
wakili msomi usiwachanganye watanzania
huyu mama peke yake ndio anaupiga mwingi nchi hii hilo liko wazi nduguChawa hajawahi kumiliki akili
mama ndio mwanzisha mwendo
wakili msomi usiwachanganye watanzania
chama cha mapinduzi kimekua kinara wa kutoa viongozi makini nchi hii nduguDhalimu magu ndio alisimika hii tabia ya kuabudiwa. Huyu mama naye anapita mulemule kwenye siasa za kick na kulazimisha kuonekana anakubalika.