Video: Wakili Msomi Mwabukusi ana hoja. Haya yalianzia enzi za Kikwete

Angalia mambo ya msingi hayo mengine yapuuze ndio akili za uongozi.

Sasa unakuta wanacha mambo ya msingi wanachukua ya hovyo yaliyosemwa😀😀😀
msingi unaanzia kwenye staha....

ukiwa huna lugha ya staha, hatuwez kuskiza hoja yako, kwanza tunacheki kama uko timamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…