Video: Wamasai wazichapa tena na Walinzi (Wajeruhi)

Mkuu unapoongelea Kamisheni ya utalii inamaanisha ni idara ndani wizara ya utalii na mali kale ambayo iko chini ya SMZ. SMZ ni CEO ambaye ana Directors, Managers nk. ( Nikuulize unawezaje kuitenga wizara yoyote na serikali?)

Bahati mbaya sana mmejikita kwenye Uzanzibari na Ubara haliangalii jambo kwa uhalisia wake, mimi sina chembe yoyote ya Uzanzibar ni mdau wa utalii nipo kwa ajili ya kusaka tonge na naongelea uhalisia kwenye field kama siyo ground. Kutoka hapa znz kurudi kwetu si chini ya km 100 na zaidi.

Miongozo ya utalii iko wazi kuwa znz ni Archepalago hivo sheria ya uhifadhi imetoa mwanya kwa mahoteli kujenga mpaka baharini kwa malipo fulani. Pamoja na yote hayo kumbuka beach ni maeneo ambayo yanategemea low na high tides, hivo kuna wakati yale maeneo ya reserve ya hotel yanakuwa almost covered na maji hivo vitanda na miamvuli ya kupumzika wageni inakuwa karibu sana maeneo ya umma, hii haimpi beach boy ama beach girl kuingilia faragha ya mgeni kwa sababu yoyote ile.

Hili ni suala la muda acha waendelee kufanya vurugu ili hii Tourism Police iamke na kufanya kazi manake naona tangu imeundwa ni kama imelala. Na haya yakiendelea SMZ haiwezi kushindana na Investors lazima tu masai ndo watakaoumia.

Nenda hotel zoote zilizoko kwenye fukwe za Dar uangalie kama beach boy na beach girl wanatamba kama znz.
 
Kama mfuatiliaji nilichogundua Wazanzibari hawawapendi wamasai. Hii inathibitishwa na kuanzia kwenye mamlaka za juu.
Refer to Mzee Ruksa ni Mzanzibari aliuza eneo la Wamasai, njoo kwa Mama Makengeza kauza eneo la Wamasai kwa falme za Kiarabu na aliwahi kuprovoke Maneno mabaya kuhusu Wamasai. Sasa kinachotokea Zanzibar kwa Sasa kilishapandikizwa huko nyuma. Wazanzibari wanawaona Wamasai kama wanyama sio binadamu.
 
Wana Vitu vingi sana wanavyitusaidia Sema Kuvisema hadharani ni kuhatarisha usalama wa Nchi yetu"

Alisikika mlevi mmoja akisema baada ya kushiba Kitimoto na Wine yake
Kitimoto na wine [emoji485] huyo sio mlevi mkuu.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sawa, ila shida haitakuwa kwa masai sasa, hapo ni hao walinzi ambao kwa asilimia kubwa ni watanganyika na tayari wana visafi na Masai toka mwenzao alipopewa kibano mwaka jana.

Masai wote waliopo Zanzibar wana umoja wao na kutambuana so kinachopaswa sasa ni kukaa na kupeana mipaka na nadhani tayari wamasai wote wanaelewa hilo, tatizo lipo kwa upande mmoja.


Nafahamu haiwezekani mtu from no where aje na aanze kukupiga tu bila sababu, yaani upo pale stone town unauza vinyago nafika na kuanza kurusha mawe mmh!, lazima kuna jambo hapo, kama upo field hiyo uliza utapata jibu ndg!.
 
Dunia inakaribia mwisho! Masai anaacha ng'ombe Longido anaenda kutikisa mpododo kwa watalii Zanzibar?
Huu ndio ujasiri wa kimasai

Si mumewafukuza kwao Ngorongoro ili mulete Waarabu!
Mbona hushangai Waarabu kuacha mafuta na sasa wanawafukuza Wamasai kwao Ngorongoro!
Tit for tat! period. Go Masai go!

JokaKuu
 
Jibu nimeshakupatia sijui unataka jibu gani, ilierate maasai hata useme nini, uliza wakulima wanaopakana na masai huko bara, mtu ahalima anapanda masai anaassume umelima kwa ajili ya malisho ya ng'ombe wake, anaingiza ng'ombe shambani na ukienda kuwaswaga anakujeruhi. Nenda Morogoro huko kama kuna mkulima hata mmoja atasimama na masai, nenda sanya juu huko matadi olmorok kama kuna mkulima atasimama kumtetea masai,
 
Acha kuwatetea hawa watu ni pumbaaav sana.
 
Na mashoga
 
Hawa jamaa wakija Dar wanaishi kwa uhuru ila hawataki wamasai waishi kwao kwa uhuru
Wazanzibar na mafala sana,wao wanapenda kuonewa huruma wakati kwao ni wabaguzi,hata tukiachana na hilo la wamasai ila wazanzibar ni mafala tu
 
Na sio wamasai tu,kiufupi watanganyika hatupendwi Zanzibar
 
hawa jamaa kwa sasa naona adabu zao zimekua fupi kupitiliza, kwa kweli wanahitaji kushughulikiwa
 

mimi sikubaliani kabisa na malalamiko yako kuhusu beach in Public, beach zinatakiwa zibaki kuwa Public area kwa yoyote. Ila Beach Boys Pamoja na wamasai wanatakiwa kufurushwa maeneo ya Beach, kwa kweli jamaa ni kero kupindukia wanasumbua sana wageni.
 

huo ndio ukweli, hito hizo fight ya video hii hata ile ya nyuma ya beach, hata hao walinzi waliokua wanapambana na wamasai nao ni watanganyika. Ila wapuuzi humu mitandaoni wao wanarusha matusi tu bila ya kuelewa kinachoendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…