Video: Wanafunzi wasichana wavua hijab na kumzomea mkuu wa kikosi kinacholinda Wanawake Iran

Video: Wanafunzi wasichana wavua hijab na kumzomea mkuu wa kikosi kinacholinda Wanawake Iran

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kajaribu kuwahutubia ila wameshachoka na dhuluma za kidini...
Wakuu wa nchi mayatollah yanalaumu Marekani na Israel.....

A girls' school in Iran brought a member of the IRGC-run Basij paramilitary to speak to students. The girls welcomed the speaker by taking off their headscarves & chanting "get lost, Basiji". Teenage girls have been at the forefront of protests for days.

Wakuu wa nchi bado wanalaumu Marekani...
Wanakosea sana kuilaumu Marekani. kuna baadhi ya mambo wanapaswa kujilaumu sana.

Dini au imani ni jambo la hiyari maana hakuna mwanadamu ambaye ana miadi ya kuzaliwa bali kila mtu ana ahadi ya kufa natural. Sasa inapofikia mahala mwanadamu kulazimishwa kuishi kwenye IMANI as core value ya maisha ni wazi unamlazimisha nje ya uhuru wake wa asili.
Endapo wangetumia ushawishi kuwafanya watu waishi kwenye misingi kwa kudumisha mila na taratibu zao bila kuwabana wasiotaka basi hali isingefikia hapo. Sidhani kama hata Saudia wapo salama sana kwa sababu hizi hizi.
Kuendelea kuweka shingo ngumu kunapelekea anguko. Wenye nchi ni wananchi na siyo viongozi na vikosi vyao
 
Kulazimisha imani ni kwa lengo la kujilinda wao na mambo yao, ni kama hapa kwetu tu ukikisema -vely kinachotawala unaminyiwa kwenye suruali
 
Kulazimisha imani ni kwa lengo la kujilinda wao na mambo yao, ni kama hapa kwetu tu ukikisema -vely kinachotawala unaminyiwa kwenye suruali
umetoa mfano mzuri sana.

Hapa kwetu, uhuru upo kwenye maandishi ya katiba pekee na kinachoheshimishwa na kutukuzwa kuliko katiba ni taasisi ile.
Tunapaswa kuwa na uwiano mzuri wa maongozi kwa wananchi, uhuru ni maendeleo na hilo linasahauliwa sana na watawala wenye fikra ganzi
 
Kila siku tunawaambia dini ya mchongo iliyokopi stori za kitaa na maandiko ya wayahudi na wakristo imeshapitwa na wakati.
 
Kuwa religious fanatics inaumiza ,inakera na kuwa undermine watu hususan ambao hawana uwezo wa kujitetea
 
Back
Top Bottom