Video: Wanafunzi wasichana wavua hijab na kumzomea mkuu wa kikosi kinacholinda Wanawake Iran

Video: Wanafunzi wasichana wavua hijab na kumzomea mkuu wa kikosi kinacholinda Wanawake Iran

Kajaribu kuwahutubia ila wameshachoka na dhuluma za kidini...
Wakuu wa nchi mayatollah yanalaumu Marekani na Israel.....

A girls' school in Iran brought a member of the IRGC-run Basij paramilitary to speak to students. The girls welcomed the speaker by taking off their headscarves & chanting "get lost, Basiji". Teenage girls have been at the forefront of protests for days.

SAFI KABISA, KATAA UKANDAMIZWAJI ETI DINI. wANAOTAKA WAVAE WASIOTAKA WAACHWE .
 
Kajaribu kuwahutubia ila wameshachoka na dhuluma za kidini...
Wakuu wa nchi mayatollah yanalaumu Marekani na Israel.....

A girls' school in Iran brought a member of the IRGC-run Basij paramilitary to speak to students. The girls welcomed the speaker by taking off their headscarves & chanting "get lost, Basiji". Teenage girls have been at the forefront of protests for days.

Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
 
Imani za kukaririshwa kwa viboko imefikia tamati
 
umetoa mfano mzuri sana.

Hapa kwetu, uhuru upo kwenye maandishi ya katiba pekee na kinachoheshimishwa na kutukuzwa kuliko katiba ni taasisi ile.
Tunapaswa kuwa na uwiano mzuri wa maongozi kwa wananchi, uhuru ni maendeleo na hilo linasahauliwa sana na watawala wenye fikra ganzi
🤣👍
 
Ila matoto ya kike ya Iran mazuri balaa. No wonder baadhi the members of the rulling class wanna wivu balaa.
Ndo wanataka kuendelea kuwaficha ficha ili si wa mtume paulo tusiyaone...acha tuwa susu
 
Dunia ya sasa mnalazimishwa usicheze mpira, usiende sokoni, usisome, usiendeshe, gari hii dini au gereza?? Mungu mwenyewe kaacha kila mtu afuate njia yake[emoji16]. Tutakutana mwishoni huko tutajua yaliyomo yamo au.
 
Kila kitu kitafanywa ila UISLAMU UTABAKI PALEPALE ,
hakunakiumbe atakayeubadili kamwe.
Hawapingi uislam, wanapinga kuwawa sababu kuna nywele za kichwa zimeonekana.
 
Back
Top Bottom