John makonda
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 263
- 246
Huo ndio ukweli wengi hufikiri nchi ni viongozi hao ni wawakilishi tu hataWanakosea sana kuilaumu Marekani. kuna baadhi ya mambo wanapaswa kujilaumu sana.
Dini au imani ni jambo la hiyari maana hakuna mwanadamu ambaye ana miadi ya kuzaliwa bali kila mtu ana ahadi ya kufa natural. Sasa inapofikia mahala mwanadamu kulazimishwa kuishi kwenye IMANI as core value ya maisha ni wazi unamlazimisha nje ya uhuru wake wa asili.
Endapo wangetumia ushawishi kuwafanya watu waishi kwenye misingi kwa kudumisha mila na taratibu zao bila kuwabana wasiotaka basi hali isingefikia hapo. Sidhani kama hata Saudia wapo salama sana kwa sababu hizi hizi.
Kuendelea kuweka shingo ngumu kunapelekea anguko. Wenye nchi ni wananchi na siyo viongozi na vikosi vyao
Mapinduzi ya Iran yaliyoiweka serikari hii yalifanywa na wanainchi sio jeshi walio fanya hayo mapinduzi baadhi yao wapo ni miaka 43 tu iliyopita