Wanakosea sana kuilaumu Marekani. kuna baadhi ya mambo wanapaswa kujilaumu sana.Wakuu wa nchi bado wanalaumu Marekani...
Waarabu wa huko akili zao wanazijua wenyewe. Wanaweza wakaamua kupitisha jambia kwa hao watoto ama aliyetoa maelekezo ya hiyo protest
Kulazimisha imani ni kwa lengo la kujilinda wao na mambo yao, ni kama hapa kwetu tu ukikisema -vely kinachotawala unaminyiwa kwenye surualiDini au imani ni jambo la hiyari maana hakuna mwanadamu ambaye ana miadi ya kuzaliwa bali kila mtu ana ahadi ya kufa natural. Sasa inapofikia mahala mwanadamu kulazimishwa kuishi kwenye IMANI as core value ya maisha ni wazi unamlazimisha nje ya uhuru wake wa asili.
Endapo wangetumia ushawishi kuwafanya watu waishi kwenye misingi kwa kudumisha mila na taratibu zao bila kuwabana wasiotaka basi hali isingefikia hapo. Sidhani kama hata Saudia wapo salama sana kwa sababu hizi hizi.
Kuendelea kuweka shingo ngumu kunapelekea anguko. Wenye nchi ni wananchi na siyo viongozi na vikosi vyao
umetoa mfano mzuri sana.Kulazimisha imani ni kwa lengo la kujilinda wao na mambo yao, ni kama hapa kwetu tu ukikisema -vely kinachotawala unaminyiwa kwenye suruali
Unakisingizia kizazi.Tatizo ni hao wanaotaka kuwafanya raia ni pompolipozz!Hiki kizazi cha sasa ni tabu tupu!
Kwahiyo, huyo jamaa inabidi tu akatafute sehemu nyingine ya kuuza narrative yake.
hahahaaaaHiki kizazi cha sasa ni tabu tupu!
Kwahiyo, huyo jamaa inabidi tu akatafute sehemu nyingine ya kuuza narrative yake.
Ndio maana Kuna Mahali nilisoma mahala "ogopa sana mtu ambaye Hana Cha kupoteza" ndio hao sasaIkifika hatua mtu haogopi tena kuuawa, ni hatua ambayo ni ya mwisho kabisa ya mtu aliyekata tamaa.
Bora afe lakini asivae hijab
Umeniwahi asee nilikuwa mbioni kumuitaBasi Maghayo atamwita Adriz