Video: Wanafunzi wasichana wavua hijab na kumzomea mkuu wa kikosi kinacholinda Wanawake Iran

SAFI KABISA, KATAA UKANDAMIZWAJI ETI DINI. wANAOTAKA WAVAE WASIOTAKA WAACHWE .
 
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
 
Unakisingizia kizazi.Tatizo ni hao wanaotaka kuwafanya raia ni pompolipozz!
Nimetoa comment mahususi kuendana na kile kilichopo mezani (video).

Ukitaka nitoe mchango kuhusu "hao wanaotaka kuwafanya raia" ... sijui kitu gani, ninaweza pia.
 
Imani za kukaririshwa kwa viboko imefikia tamati
 
🤣👍
 
Ila matoto ya kike ya Iran mazuri balaa. No wonder baadhi the members of the rulling class wanna wivu balaa.
Ndo wanataka kuendelea kuwaficha ficha ili si wa mtume paulo tusiyaone...acha tuwa susu
 
Dunia ya sasa mnalazimishwa usicheze mpira, usiende sokoni, usisome, usiendeshe, gari hii dini au gereza?? Mungu mwenyewe kaacha kila mtu afuate njia yake[emoji16]. Tutakutana mwishoni huko tutajua yaliyomo yamo au.
 
Kila kitu kitafanywa ila UISLAMU UTABAKI PALEPALE ,
hakunakiumbe atakayeubadili kamwe.
Hawapingi uislam, wanapinga kuwawa sababu kuna nywele za kichwa zimeonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…