Video: Wanafunzi wasichana wavua hijab na kumzomea mkuu wa kikosi kinacholinda Wanawake Iran

Huo ndio ukweli wengi hufikiri nchi ni viongozi hao ni wawakilishi tu hata
Mapinduzi ya Iran yaliyoiweka serikari hii yalifanywa na wanainchi sio jeshi walio fanya hayo mapinduzi baadhi yao wapo ni miaka 43 tu iliyopita
 
Hapa kwetu watoto wakike wanavaa shuleni wakirudi home wanazitupa, kuna ulazima gani kuvaa hapo shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…